Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania.
Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo think tank kuu ya mambo ya kimataifa katika Nyanja za KISIASA, KIUCHUMI n.k.imetoa utafiti wake.

Miongoni mwa kazi zake kuu ni kufanya Utafiti/Research na ANALYSIS/ UCHAMBUZI ili kupata MATOKEO/ PROJECTION za nchi mbali mbali kuhusu Siasa na Uchumi na hivyo kubashiri wakiwa wamelenga shabaha kabisa/ Accuracy katika ubashiri wao.

Kulingana na Tafiti na Chambuzi zake za hivi karibuni zinazohusu uchaguzi wa Tanzania wa mwaka ujao wa 2020,
Rais Magufuli anategemewa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kuliko uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.

Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.

Tafiti zinasema pamoja na kuwa vyama vya upinzani vimejaribu sana bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Chanzo: IEU.

Ni kwel itachukua lkn sio kwa njia ya haki ubunge hadi urais wenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kama CCM ikichaguliwa kwa 100% kuna nn cha faida wananchi watapata zaidi ya kuzidi kutopea kwenye umasikini?
 
Mbona CCM vigeugeu?Hivi mnaowaita MABEBERU leo mnawaamini kuwaletea UTAFITI wao kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020!
Mmesoma Gazeti la The Economist linalomwita Magufuli FOOLISH kwenye UCHUMI. Mbona Utafiti wa Wazalendo wa TWAWEZA mliukataa na mpaka leo Mkurugenzi wake hamjamrudishia Passport yake...kweli utawala huu ni LAANA!
 
Mimi siandiki porojo za mitaani, ninachokiandika ninakijua. Na nimekupa hata link jisomee!
 
Hata kama CCM ikichaguliwa kwa 100% kuna nn cha faida wananchi watapata zaidi ya kuzidi kutopea kwenye umasikini?
Mimi si MSEMAJI wa CCM ila naandika kilicho na watafiti.
 
Ni kwel itachukua lkn sio kwa njia ya haki ubunge hadi urais wenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sidhani kama kutakiwa na wizi, maana kila chama kina wawakilishi/Agents wao. Ama?
 
shige2, asante ila umeweka chumvi nyingi kidogo
In brief

Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power. The government has outlined ambitious plans to improve public sector efficiency and boost living standards, but fiscal limitations will persist. Meanwhile inconsistent policymaking, particularly on trade, will deter investment. Nonetheless, medium-term economic prospects remain fairly strong, supported by a growing services industry and planned public investments in infrastructure.
chanzo:Tanzania Economy, Politics and GDP Growth Summary - The Economist Intelligence Unit
Mkuu unataka kuniambia yangu ni highly redacted?
Well well. Nashukuru mkuu..
 
Mkuu mbona nimekuandikia. "Economist Intelligence Unit".
Tafuta wewe mwenyewe.
Weka link. Unafahamu “citation”? Eti “tafuta mwenyewe”. Kama umeandika uongo?
 
Back
Top Bottom