Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Mbona utafiti wa Twaweza uliofanywa na watu wanaoishi humu humu ulipingwa na serikali,huo unaofanywa toka majuu ndo wanaukubali. Waache mizengewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wame enda shule pia,never ever under rate them
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe link tukajionee wenyewe yaliyomo yamo? Sisi sio spoon feed Kama wewe. Hiyo analysis imetoa ni sababu gani SSM iibuke kidedea hivyo?
 
Hii ni riwaya au habari? Mbona hiyo report hatuioni?
 
Wewe umeona kuna habari hapa zaidi hekaya za bunuwasi toka kwa huyo unayemwita mleta habari? Mbona hakuna chochote alichokileta? Hiyo habari iko wapi?
 
Utafiti huu ungekuwa kinyume na alichosema mtoa mada UNGEPITA BILA KUPINGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…