jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa nini anaitwa baba wa Taifa....
Ni kwa sababu aliweka msingi na mikakati ya Taifa la Tanzania.
Kama umepata fursa ya kutembea nchi hii ndio utaelewa Baba wa Taifa alikuwa ni kichwa haswa.
Zipo Taasisi za kimkakati alizoasisi na hadi sasa zimebaki kuwa ni muhimili wa Taifa kusonga mbele
1-Chama Imara kinachoendelea kushika madaraka na kuifanya Tanzania kuwa ya Amani.
2-JWTZ
3-JKT
4-UDSM(Kuandaa wasomi wenye fikra)
5-IDM MZUMBE(Kuandaa viongozi)
6-SUA(kuandaa wataalamu wa kilimo)
7-MONDULI(Kuandaa Viongozi na maafisa wa jeshi)
8-Vyama vya Ushirika(Kilimo biashara)
9-DIT,ATC,na vyuo vya kati kuandaa mafundi mchundo
10-Shule za vipaji maalumu
11-Chuo cha uvuvi mbegani(kuandaa wataalamu wa uvuvi kibiashara)
12-Chuo cha ualimu bagamoyo n.k (kuandaa walimu viongozi wa shule)
13-Vyuo vya CBE,IAA(Kuandaa wataalamu na viongozi wa maswala ya uchumi)
14-VIWANJA VYA MICHEZO (STADIUMS,DARTS CLUB N.K)
16-UDA ,MORETCO,NA MASHIRIKA MENGINE USAFIRISHAJI KILA MKOA
17-R.T.D/SHIHATA
18-N .H.C (Jionee manyumba wanaoishi wahindi kila mji)
19-N.B.C(benki ya biashara)
20-C.R.D.B(benki ya maendeleo vijijini)
21-Posta na Simu(Mawasiliano)
22-N.M.C (Shirika la uzalishaji nafaka)
23-Viwanda vya kimkakati kila mkoa mfano Machine Tools
24-SUKITA
Kwa ufupi hakuna Taasisi au Tasnia iliachwa kuanzishwa na baba wa Taifa.
Iwapo Atatokea Rais wa Kufanyia kazi japo kwa Asilimia 50 tu ya mkakati alioucha Baba wa Taifa Basi Tanzania itakuwa ni nchi Tishio duniani.
Hii ni salamu kwa vibaraka wa mabeberu wanaojaribu kutaka kuchukulia poa Muasisi wa Taifa hili.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!