Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

copernicucci98

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
1,232
Reaction score
2,362
Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa..

Changamoto:
1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website zao
2. Zile zenye namba za simu, mara nyingi hazipatikani, mara chache zinaita, hazipokelewi

Wanakimbilia kuweka online survey wapate feedback via emails, kama simu hawana kweli wata take trouble kwenda kwa emails?

Baada ya application ya chuo, course fulani fulani za uzeeni, nikapata feedback ya selection via text.. Ile namba ya voda kila nikipiga haipatikani, mwezi na nusu sasa.. Nashindwa kupata muda mchana kwenda ofisini kwao, but, does it worthy kweli?

Kwa website yao wamejaza mambo mengine mengi halafu hakuna mawasiliano.

Ushauri wangu kwa taasisi zote za uma, GoT n non-GoT. Wekeni namba za simu muwe mnatatua changamoto ndogo ndogo zote via phone calls.
 
Back
Top Bottom