Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini!

Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile

  • Kuhifadhi taarifa za waumini
  • Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha
  • Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa
  • Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara mbalimbali ndani ya kanisa
  • Kuhifadhi files & documents za kanisa
  • Usimamizi wa kalenda, matukio na ibada
  • Kutumia mfumo kutuma taarifa kwa waumini (BulkSMS)
Ili kutumia mfumo huu ingia churchmis.com kisha tengeneza account ya kanisa na baada ya hapo utaweza kuanza kutumia mfumo huu.

Gharama
Miezi 3 ya kwanza ni free trial, baada ya hapo ni 30,000 kwa mwezi

Kwa mawasiliano karibuni 0759891571/info@churchmis.com
 
Maboresho kadhaa yamefanyika

1678952370002.png
 
Back
Top Bottom