Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

mikopo mingi ni msumari wa moto ngoja na wa simu wakupigie! Ila kuna kitu hii nchi nashindwa kuelewa kwanini mikopo mingi inawalenga wafanyakazi na si kuwainua wafanyabiashara wadogo!
Alafu wakishakaa kwenye hayo maa V8 ni kuwahubiria watanzania wajiajiri kama vile na yeyebkajiaji
 
Hapa nilipo nadaiwa pesa bnyingi sana na Nmb mpaka najuta pesa zenyewe sikukopa zote nilifanya top up ya milioni sita nilikuja kushangaa deni linasona milioni 14
Tafadhari hapa elezea vizuri ilikuaje kuaje hapo NMB ?
✍️
 
Tatzo walimu wengi ni fuata mkumbo hususani kwenye maswala ya mikopo,

cha kusikitisha kila mwalimu anataka amwone mwenzake anapitia the same struggle.

Mkiwa kitu 1 mkapeleka malalamiko sehemu husika hii mizigo ya kujitakia mtaiepuka .
 
Wewe umejuaje kama mimi ni mwalimu? Acha dharau
 
Hivi we unajua hata maana ya serikali. Mbona mmekuwa wapumbavu hivyo? Serikali imaingiaje kwenye utopolo wako huo wa mikopo? Muwe serious acha upuuzi
Huoni kwamba wewe ndi Lofa? Serikali ina wajibu wa kusimamia kila taasisi inayotoa huduma kwa wananchi!
 
Hivi we unajua hata maana ya serikali. Mbona mmekuwa wapumbavu hivyo? Serikali imaingiaje kwenye utopolo wako huo wa mikopo? Muwe serious acha upuuzi
Mwandiko wako ni kama ule wa mtoto wa miaka 4. Bila shaka utakuwa na udumavu wa akili.
 
Habari,
Mimi ni mtumishi wa umma katika halmashauri ya wilaya ya igunga!
Kiukweli hii nchi wizi hautaisha, taasisi za kukopesha zinafanya wizi wa nje nje hii sio sawa!

Watumishi wa umma wanalia na madeni binafsi nimeshuhudia hali inatisha sana,
Kipindi flani kuna taasisi ya mikopo sijui hata Walitoa wapi namba yangu ya simu walinisumbua sana eti nikakope hela kwa riba nafuu nikakataa
Wakanitafta mpaka watsapp wakanitumia aina karibia 10 za pikipiki kuwa wanakopesha

Nikachagua pikipiki moja aina ya BOxER ile pikipiki dukani inauzwa 3M but wao wakaniambia wananikopesha pikipiki kwa riba nafuu wakanipogia hesabu kuwa nitakua ninakatwa 153000 kwa muda wa miezi 48 sawa na miaka minne

Nilipopiga hesabu nikakuta natakiwa jumla kuwalipa 7344000 yaani pikipiki ya milioni tatu nainunua kwa milioni saba nilishangaa sana nikawaambia sifanyi huo ujinga nikawablock

Hivi majuzi nimepata tatizo nikaenda kuomba mkopo abc benki

Nikaomba mkopo wa 7.8 milioni haloo nimepewa kikotoo nilivyokaa chini nikakuta natakiwa kulipa jumla milioni 17 tena kwa miaka minne tu huu ni wizi serikali iko wapi?

Hapa nilipo nadaiwa pesa bnyingi sana na Nmb mpaka najuta pesa zenyewe sikukopa zote nilifanya top up ya milioni sita nilikuja kushangaa deni linasona milioni 14
Unang'ang'ana na hela za benki eee kila saa benki, benk. siutafute zakwako? hizo bank ni kazi za watu, na kila siku wanaumiza vichwa vyao ninamna gani,au wamlipe nani, atunge sheria itakayo wapa mamlaka ya kukunyang'anya hiyo kazi yako na kiinua mgongo chako chote,. Ili utie akili
 
Tatizo mnakuwa na mzuka/desperate sana kiasi cha kutokutaka kujirizisha kwa kina kabla ya kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom