Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asilimia 21 ni ndogo basi pole Yako!!Mimi nawaona wa ukweli ni EQUITY Bank tu, kwanza wana riba ndogo lakini pia wanakukatavkama mlivyokubaliana kwenye mjataba wenu. Hawazidishi hata mia
Pole wewe. Mimi wananikata 15% labda kwa sababu ni kimeo cha mwaka mmoja na kina karibia kuishaasilimia 21 ni ndogo basi pole Yako!!