Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

mikopo mingi ni msumari wa moto ngoja na wa simu wakupigie! Ila kuna kitu hii nchi nashindwa kuelewa kwanini mikopo mingi inawalenga wafanyakazi na si kuwainua wafanyabiashara wadogo!
Alafu wakishakaa kwenye hayo maa V8 ni kuwahubiria watanzania wajiajiri kama vile na yeyebkajiaji
 
Hapa nilipo nadaiwa pesa bnyingi sana na Nmb mpaka najuta pesa zenyewe sikukopa zote nilifanya top up ya milioni sita nilikuja kushangaa deni linasona milioni 14
Tafadhari hapa elezea vizuri ilikuaje kuaje hapo NMB ?
✍️
 
Tatzo walimu wengi ni fuata mkumbo hususani kwenye maswala ya mikopo,

cha kusikitisha kila mwalimu anataka amwone mwenzake anapitia the same struggle.

Mkiwa kitu 1 mkapeleka malalamiko sehemu husika hii mizigo ya kujitakia mtaiepuka .
 
Wewe umejuaje kama mimi ni mwalimu? Acha dharau
 
Hivi we unajua hata maana ya serikali. Mbona mmekuwa wapumbavu hivyo? Serikali imaingiaje kwenye utopolo wako huo wa mikopo? Muwe serious acha upuuzi
Huoni kwamba wewe ndi Lofa? Serikali ina wajibu wa kusimamia kila taasisi inayotoa huduma kwa wananchi!
 
Hivi we unajua hata maana ya serikali. Mbona mmekuwa wapumbavu hivyo? Serikali imaingiaje kwenye utopolo wako huo wa mikopo? Muwe serious acha upuuzi
Mwandiko wako ni kama ule wa mtoto wa miaka 4. Bila shaka utakuwa na udumavu wa akili.
 
Unang'ang'ana na hela za benki eee kila saa benki, benk. siutafute zakwako? hizo bank ni kazi za watu, na kila siku wanaumiza vichwa vyao ninamna gani,au wamlipe nani, atunge sheria itakayo wapa mamlaka ya kukunyang'anya hiyo kazi yako na kiinua mgongo chako chote,. Ili utie akili
 
Tatizo mnakuwa na mzuka/desperate sana kiasi cha kutokutaka kujirizisha kwa kina kabla ya kuchukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…