GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie.

Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna maneno mengi.

Screenshot_2025-09-26-09-45-35-307_com.google.android.apps.messaging.jpg
Screenshot_2025-09-26-09-45-28-860_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Eti na Takukuru nao wanajidai toa taarifa sijui ujinga gani,Utadhani hawamuoni Abdul na ufisadi anaofanya
 
Hivi kuna namna ya kuwapiga tofali kuna hawa na wale wanasema mambo ya rushwa sijui vituvitu gani aisee wanakela sana
 
Sema hakuna reply tu kwenye sms kama hizo wangekuwa wameshaacha
 
Back
Top Bottom