Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba ileta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa.

Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
Sema wewe ndiye hujui, kesho Simba inaingiza timu.
 
Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba ileta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa.

Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
Bango linawasubiri.
 
Just in🚨 Muda huu Simba wamekwenda bodi ya ligi kuchukua tiketi zao za VVIP na VIP kwa ajili ya watu wao (wageni) muhimu…..ni wazi Simba watacheza mechi ya kesho.

Kama ulivyo utaratibu timu ngeni na mwenyeji huwa wanapewa tiketi za VVIP na VIP tayari Simba wamechukua mzigo wao.

Kesho lazima kipigwe✍️

IMG-20250624-WA0041.jpg
 
Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba ileta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa.

Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
Muda huu wamekwenda bodi ya ligi kuchukua tiketi zao za VVIP na VIP kwa ajili ya watu wao (wageni) muhimu…..ni wazi watacheza mechi ya kesho.
Kama ulivyo utaratibu timu ngeni na mwenyeji huwa wanapewa tiketi za VVIP na VIP tayari wamechukua mzigo wao.
 
Wote tunajua wanacheza
Wanafanya haya ili biashara ya tickets iwe ngumu Kwa Yanga, Kwa kuwa Yanga ndo mwenyeji
Ila pamoja na uhuni wote huu kipigo kipo pale pale
Kuna wakati uwe unaficha ujinga,issue siyo mapato,Kwani hujui 85% ya tiketi ilikuwa imeuzwa tayari? Kama simba watacheza basi ni mind and technically game,kama hawatacheza basi ni misimamo ya maana sana!
 
Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa.

Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
Hizo habari za kutaka kujua Simba atacheza au hata cheza zinasaidia nini ikiwa ratiba bado iko palepale. Mi naona ni ujinga kwa sababu pia mashabiki hawajui wakate tiketi au waache.

Mi nawaona mambwiga tu, kama unajiamini hutacheza sema kama huchezi sema watu wajue hatupo IRAN hapa kujikuta unalinda taarifa za nyuklia anakuja Israel anakufumua. Nonsense
 
Back
Top Bottom