Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Mshahara ni wa kawaida marupurupu na dili ni nyingi
Maana mtu anayefanya kazi kama IT officer pale NCAA take home yake ukiweka na allowance ni 2m+ ila hawa tawa na tfs hata ukijumlisha na posho zao sidhan km inafika hata 2m
 
Maana mtu anayefanya kazi kama IT officer pale NCAA take home yake ukiweka na allowance ni 2m+ ila hawa tawa na tfs hata ukijumlisha na posho zao sidhan km inafika hata 2m
Unaelewa maana ya kula kwa urefu wa kamba?
 
Jeshi la polisi lingewekwa namba 1, hao wanakula bila hata tone la aibu… hawaombi ila wanataka km walikupa.!!
 
Hujafika uhamiaji wewe?
Kupata passport utasota

Nssf
Nida
Passport hata hazisumbui siku hizi.
Ukiwa na document kamili ndani ya wiki mbili au Tatu inakuwa tayari.
Watu wengi nimewasaidia na hutoi hata hongo.
 
Hakuna taasisi wanalipana vizuri Kama chakademus
 
Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Kama huzijui nyamaza kwanza ni TPDF huko ukishaingia tu hata kwa kuazimana vyeti umepita umewahi kusikia kuna ukaguz wa aina yyte sijui pepmis sijui legend nyaraka zenu tena sijui nn kwengne unawaonea tu
 
Hakuna watu washenzi kama uhamiaji hasa,wa kule mipakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…