nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hawa wana chama chao....sasa sijui ni wachache ndio wanafaidi au wote.....Hivi uwa wanapewa hata pesa ya likizo?
Mi nadhani Serikali ianzishe hata posho za mitihani ya mihula kufungia shule, na kusaishia hio mitihani,wapate trans&Comm allowance kimtindo.
Kuna mwalimu nimemuomba nilete gari kwa jina lake tupige hela sababu wao hawalipi kodi...sasa namuambia fuatilia...anakuwa kiumbe mzito......