Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahaaa.Kwenye NIDA Umepatia ,mm nilizungushwa miezi miwili namba ya NIDA, ofisi za wilaya fulani hivi,kumbe wanataka urefu wa kamba kweli nilivyotoa pesa nikapata NIDA siku hiyo hiyo
Niliwahi lipia hela niliyoambiwa ni ya BANDO (MB) kwenye Halmashauri ili nipatiwe Cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto.
Yaani Internet ya Ofisi ipo lakini nikaambiwa hivyo, nikasema isiwe shida ngoja nitoe tu maana kuzungushwa ndio sikutaka