KItengo mkuu ila kuna wakati nilibeba Cement za foreman wangu....alikuwa ni mtu wa Iringa,,,,,Siku nyingine tukabeba nondo hizi zilikuwa za mpare mmoja alikuwa store.....tukaenda kuzishusha pahala karibia na daraja...kumbe wananzengo wanatuona wakamuambia mwenyekiti wa kijiji ......ghafla asubuhi tunaona polisi wanaleta minondo ofisini,,,kwa kifupi project manager alikana sio nondo za kampuni(alikuwa ni mzungu)....baadae polisi wakaondoka nazo wakaenda kuziuza,,,,,week end tukakutana nao viwanja tukaendelea kununuliana bia kimya kimya......HAKIKA HAKUNA NCHI NZURI KAMA TANZANIA.....muhimu kitengo tu...