Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Hukupiga cement kwa maana madereva kwa kuiba ni hatari
KItengo mkuu ila kuna wakati nilibeba Cement za foreman wangu....alikuwa ni mtu wa Iringa,,,,,Siku nyingine tukabeba nondo hizi zilikuwa za mpare mmoja alikuwa store.....tukaenda kuzishusha pahala karibia na daraja...kumbe wananzengo wanatuona wakamuambia mwenyekiti wa kijiji ......ghafla asubuhi tunaona polisi wanaleta minondo ofisini,,,kwa kifupi project manager alikana sio nondo za kampuni(alikuwa ni mzungu)....baadae polisi wakaondoka nazo wakaenda kuziuza,,,,,week end tukakutana nao viwanja tukaendelea kununuliana bia kimya kimya......HAKIKA HAKUNA NCHI NZURI KAMA TANZANIA.....muhimu kitengo tu...
 
Hahah kweli kabisa hii nchi ukipata kaupenyo piga
 
Nikiona neno TRA nakumbuka yule jamaa aliyeshikwa na magunia yaliyojaa hela.
Usifanye mchezo
Yuko mwingine ana nyumba mpaka nyingine anazisahau....
KUna siku tulishapewa dili mnaingia ndani ya moja ya nyumba mnahesabu dola na kuzi sort....za zamani mnatoa mnaweka mpya ni kazi ilituchukua mwezi na zaidi asubuhi mpaka jioni.....NAYE NI WA TRA.....ila alitupoza vizuri....ndio maana Mungu anamlinda mpaka leo yupo .........KAMBA YAKE BADO IMARA ANAKULA........na kuna mtandao watu wakitaka kusafiri yeye ndie anawauzia dola na rate zake nzuri.......yaani ana roho nzuri sana .......unajua roho mbaya zinaletwa na umasikini......
 
Back
Top Bottom