Tutavisafisha vibaku kua Vyama vyenyr lengo la Kua JICHO LA TAIFA.Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha Wafanyakazi
4. Chama cha Walimu
5. BAKWATA
Kipi?Chama cha Wafanyakazi
Ungeanza na CCM. Lakini wana ccm wote waende jela.Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha Wafanyakazi
4. Chama cha Walimu
5. BAKWATA
Demokrasia ni uhuru wa watu kuzungumza na kukosoa, uhuru wa habari, uhuru wa sanaa, uhuru wa dini, uhuru wa mihimili ya dola, uhuru wa watu kusema haturidhiki na jambo fulani, uhuru na haki ya kuchagua na kuchaguliwa n.k Naweza kuendelea mpaka kesho.Demokrasia ni Nini ? Kupata vile unavyotaka wewe ? No problem of Dictatorship so long as you are the one doing the Dictating ?
Kabla ya yote tujiulize Demokrasia gani tunayotaka kama Taifa sababu kama wewe unataka hio unayosema hapa huenda mimi sikubaliani nayo kabisa...; Labda ungesema ni kuondolea Meno Taasisi yoyote kuweza kuziba haki ya mtu hata kama ni minority (The Tyranny of the Majority)
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo
Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha mawazo yetu na kuweza kuwawajibisha wakati wowote wanapoenda kinyume ?
Je Demokrasia tunayotegemea ni ya kuchagua yule tunayemtaka wakati wowote au ni kubadilishana utawala kwamba kila mtu apate zamu yake ?
Ni wapi kuna umuhimu au ulazima wa kwamba mtu akitawala labda miungo miwili au mitatu basi...
- Logikos
- demokrasia karne karne ya 21 katika ni nini tunataka uhalisia wapi
- Replies: 2
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwahio wewe utataka kufuta hizo Taasisi kwa misingi gani kwamba hazina sauti ? Ungesema TCRA ningekuelewa na sio hizo nyingine ambazo na wewe unaweza ukaanzisha yako kupingana nao kwa Hoja....Demokrasia ni uhuru wa watu kuzungumza na kukosoa, uhuru wa habari, uhuru wa sanaa, uhuru wa dini, uhuru wa mihimili ya dola, uhuru wa watu kusema haturidhiki na jambo fulani, uhuru na haki ya kuchagua na kuchaguliwa n.k Naweza kuendelea mpaka kesho.
Hao ndio kabisa wawe wa kwanzaTLS je?
PoliceHizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha Wafanyakazi
4. Chama cha Walimu
5. BAKWATA
Yanga ni CCM, so itakuwa ishajifuta by default.10. Yanga Sports Club
Kenge we!!! πππ10. Yanga Sports Club
Hiyo isiguswe kabisaaaa , zaidi inapaswa kuongezewa nguvu .TLS je?