Taasisi zinazopaswa kufutwa siku nchi itapata demokrasia


Hili Jukwaa la Wahariri sio lifutwe tu, Bali wachalazwe fimbo za mgongoni za kutosha Kila aliyekuwa mshiriki wake wakiongozwa na Balile na Mayalla(Njaa).
 
Sisiemu na matawi yake.
 
1. Tiss
2. Mahakama
3. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
4. Polisi
5. Takukuru
6. Tume ya Uchaguzi
7. Jukwaa la Wahariri
8. CCM- Hii ndo ifutwe kabisaaaa
 
Baadhi zifutwe, nyingine zifanyiwe overhaul.
 
Balile ni mwanamtandao amefanya kazi kwenye kampuni ya Magazeti na Chanel 10 ya Rostam
 
Rabaika
 
TCRA,TAKUKURU, TISS(ifumuliwe iundwe upya) TANPOL, INEC, MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA.
 
Pia media kama
Azam media, IPp, Miladayo nk kufutia usajili kabisa
 
Upo sahihi ...na nying8ne nyingi zinapaswa kuvunjwa
 
OFisi ya Mitungi,Bungua a.k.a bunge Mufumo
 
Medical Council of Tanganyika - MCT

Inatakiwa council ambayo haitakuwa chini ya wizara Ya Afya . Hii iende hadi kwa fani nyingine mfano , maainjinia , manesi. Waasibu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…