Taasisi zote za Serikali zijitoe katika mtandao wa Twitter X

Taasisi zote za Serikali zijitoe katika mtandao wa Twitter X

Binafsi nadhani ni suala la mabadiliko ya watu kiujumla kwani....
Miaka ya hivi karibuni ukichunguza kwa umakini utagundua asilimia kubwa za content zao ni SEX TU(iwe directly au indirectly)..na hii ni kwa mitandao yote ya kijamii.

Hii hali ni tofauti na miaka ya nyuma hususani kuanzia miaka ya 2012 kurudi nyuma(ilikuwa ni nadra sana ukakuta sex inazungumziwa kama sahivi)....mfano mzuri rejea mada mbalimbali za hapahapa Jamii forum utagundua hata hii JF sio ile ya zamani.

Watu wengi wanapenda sana sex related content na mada za namna hii hupata wachangiaji wengi,Hii kwa namna moja ama nyingine imepelekea wale wadau wenye Madini mazuri wengi wao kuwa observes.
 
Back
Top Bottom