Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Platozoom,Hahaaa
"Assalaam alaikum
Nimesoma taazia ya Mkapa na urafiki wake na Mzee Kondo.
Kuna kitu muhimu sana umekiacha.
Extremely important na ndicho kingebeba taazia yote.
Mzee Kondo kanihadithia mwenyewe kuwa wakati Mkapa anataka kumuoa mama Anna yeye mzee Kondo ndie alikuwa mshenga ! Yeye ndie aliyepeleka Posa."
Katika wale unaodhani wewe walitumwa na Mwalimu kama nilivyokueleza hakuna aliyefikia daraja hii na mimi nawajua na wao wananijua vizuri sana.
Sisi huwa hatusemi hadi ifurtu ada.
Na tukisema ndiyo mnakuja nyuma yetu na kujifanya ati mnajua.
Ungukuwa mjanja na unataka kusoma historia hii ungeniuliza kwa nini Mwalimu alitaka msaada wa Mzee Kondo na nini uhusiano wao na ulianza lini?
Naamini unafahamu unachokikosa.