Taazia: Benjamin William Mkapa (1938 - 2020)

Platozoom,
"Assalaam alaikum

Nimesoma taazia ya Mkapa na urafiki wake na Mzee Kondo.

Kuna kitu muhimu sana umekiacha.

Extremely important na ndicho kingebeba taazia yote.

Mzee Kondo kanihadithia mwenyewe kuwa wakati Mkapa anataka kumuoa mama Anna yeye mzee Kondo ndie alikuwa mshenga ! Yeye ndie aliyepeleka Posa."

Katika wale unaodhani wewe walitumwa na Mwalimu kama nilivyokueleza hakuna aliyefikia daraja hii na mimi nawajua na wao wananijua vizuri sana.

Sisi huwa hatusemi hadi ifurtu ada.

Na tukisema ndiyo mnakuja nyuma yetu na kujifanya ati mnajua.

Ungukuwa mjanja na unataka kusoma historia hii ungeniuliza kwa nini Mwalimu alitaka msaada wa Mzee Kondo na nini uhusiano wao na ulianza lini?

Naamini unafahamu unachokikosa.
 
"Na tukisema ndo mnakuja nyuma yetu na kujifanya mnajua". Nimeupenda huo mstari! Kumbe tumeshakuwa sisi? Sisi kina nani tunaojifanya tunajua na ninyi kina nani mnaosema?
 
  • Thanks
Reactions: T11
"Na tukisema ndo mnakuja nyuma yetu na kujifanya mnajua". Nimeupenda huo mstari! Kumbe tumeshakuwa sisi? Sisi kina nani tunaojifanya tunajua na ninyi kina nani mnaosema?
Hivi hujui hapa ninachokieleza?

Nilianza na kueleza uhusiano wangu na Mzee Kondo hadi nikaeleza kuwa alipokuwa anaanza maisha alipanga nyumba ya bibi yangu Sophia bint Farjala Mtaa wa Likoma.

Hawa ndiyo watu wangu ndiyo sisi.

Kitwana Kondo kwa uhusiano huu nikawa mwanae na ndiyo kunipenda na kuniamini akanifunza mengi.

Ndiyo haya unayasoma hapa ambayo hukuwa unayajua.
 
Dhuluma ya kuzuia haki ya wapemba kuishi, kamwe haitasahaulika hata mumpambe vipi.
 
Kwa kuwa Mkapa alikuwa mkuu wa chuo cha Dodoma, ningependekeza siku ya J4, mwili wake usafirishwe hadi UDOM ili jumuiya ya pale ipate nafasi ya kubid farewell to him.. Tukumbuke, hii ndiyo ilikuwa ajira yake ya mwisho hapa Duniani.
Na ikiwezekana jumanne iwe siku ya mapumziko kitaifa kama ambavyo ni siku ya kitaifa ya kumuaga mzee wetu wa ukweli na uwazi!!
 
Platozoom,
"Assalaam alaikum

Nimesoma taazia ya Mkapa na urafiki wake na Mzee Kondo.

Kuna kitu muhimu sana umekiacha.

Extremely important na ndicho kingebeba taazia yote.

Mzee Kondo kanihadithia mwenyewe kuwa wakati Mkapa anataka kumuoa mama Anna yeye mzee Kondo ndie alikuwa mshenga ! Yeye ndie aliyepeleka Posa."

Katika wale unaodhani wewe walitumwa na Mwalimu kama nilivyokueleza hakuna aliyefikia daraja hii na mimi nawajua na wao wananijua vizuri sana.

Sisi huwa hatusemi hadi ifurtu ada.

Na tukisema ndiyo mnakuja nyuma yetu na kujifanya ati mnajua.

Ungukuwa mjanja na unataka kusoma historia hii ungeniuliza kwa nini Mwalimu alitaka msaada wa Mzee Kondo na nini uhusiano wao na ulianza lini?

Naamini unafahamu unachokikosa.
Kumbe haya ndiyo ulisema Watapigwa nayo butwaa na mshangao..hahaaaa
 
Kumbe haya ndiyo ulisema Watapigwa nayo butwaa na mshangao..hahaaaa
Platozoom,
Ungesema kuwa haya ukiyajua kabla mimi ningepigwa na butwaa. Bahati mbaya kwako wewe ndiyo uliepiga goti kwangu nakusomesha. Sasa nani anaestahili kuangua kicheko?
 
Bwana Mohamed Said unatumia nguvu nyingi na kuzunguka kuelezea kile unachotaka kuelezea.

Just be straight bosi, siyo wote wenye uwezo wa kukuelewa unapotumia mafumbo.

Kitwana alitengwa na Mkapa baada ya Mkapa kupata Urais! Nadhani hii ndiyo theme ya huu uzi. Na ninaweza kubashiri kwamba si muda unaenda kuchomekea swala la dini.
 
Don...
Uzuri wa kuandika ndiyo huu kuwa unatoa fursa kwa watu baada ya kukusoma wakatoa mawazo yao.

Hili la dini sichoki kueleza.

Mimi siandiki dini kwa kuwa hata kama ningependa sina elimu ya kutosha kiasi cha kufanya hivyo.

Vyote nilivyoandika na ni vitabu kadhaa na "papers," nyingine nimetoa kwenye vyuo vikuu nimeandika, "corrective history," yaani nimesahihisha historia ya Tanganyika ambayo ilifuta historia ya Waislam.

Hii ni "field of Inquiry," yaani kwa nini imekuwa hivi?

Hili ndilo nililofanya na hii si dini.

Unaweza kutafuta msaada kwa wajuzi wakufahamishe zaidi.

Sikuwa na nia ya kusema Kitwana Kondo aliwekwa pembeni na Benjamim Mkapa na kama ingekuwa hivyo ningesema.
 
Basi sawa Mimi nimekuelewa kijana wa Marehemu Mzee Kitwana Kondo. Wapumzike kwa amani wote wawili
 
Mzee huwa unatamani familia yako iandikwe kwa wino

Hata pasipokua udugu utajipenyeza uonekane tu

Hivi hujui hapa ninachokieleza?

Nilianza na kueleza uhusiano wangu na Mzee Kondo hadi nikaeleza kuwa alipokuwa anaanza maisha alipanga nyumba ya bibi yangu Sophia bint Farjala Mtaa wa Likoma.

Hawa ndiyo watu wangu ndiyo sisi.

Kitwana Kondo kwa uhusiano huu nikawa mwanae na ndiyo kunipenda na kuniamini akanifunza mengi.

Ndiyo haya unayasoma hapa ambayo hukuwa unayajua.
 
Mzee huwa unatamani familia yako iandikwe kwa wino

Hata pasipokua udugu utajipenyeza uonekane tu
TII,
Sijipenyezi ni malezi.
Tulivyolelewa sisi ni kuwa jamaa ni ndugu.

Mtu mzima yeyote makamo ya baba yako au mama yako ni sawa na mzazi wako.

Kwani hili limekuudhi?
 
Nyinyi akina nani?

Back
Top Bottom