[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]View attachment 506018
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya Ibrahim Ajibu na Laudit Mavugo . Baadae Mtoto wa Ajibu alifariki . Leo tena Simba imeshinda mabao 2-1 ajibu tena amefunga yule Mama wa yule Mtoto naye Amefariki Jana. R. I.
Wacha ujinga!!Pole sana mfiwa. Akachek ngoma
Wewe ndo mjinga maana hapo utawaza amelogwaWacha ujinga!!