Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga mseng***wwPole sana mfiwa. Akachek ngoma
Ukwel mchungu na lazima utoe povu maana nawe kimada wake wa pembenAcha ujinga mseng***ww
View attachment 506018
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya Ibrahim Ajibu na Laudit Mavugo . Baadae Mtoto wa Ajibu alifariki . Leo tena Simba imeshinda mabao 2-1 ajibu tena amefunga yule Mama wa yule Mtoto naye Amefariki Jana. R. I.