Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe

Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe

View attachment 506018
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya Ibrahim Ajibu na Laudit Mavugo . Baadae Mtoto wa Ajibu alifariki . Leo tena Simba imeshinda mabao 2-1 ajibu tena amefunga yule Mama wa yule Mtoto naye Amefariki Jana. R. I.
Sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea.
 
Mungu amrehemu marehemu na amtie nguvu mumewe
 
Mbwa weeeeee..... Nakuhakikishia utakufa kwa ngoma wewe mkuu
Mara uniite mbwa mara mkuu.... mbonq huelewek!!? Mbwa kwako ni mkuu!!? Wewe utakuwaje sasa kama mbwa ni mkuu wako!? Wewe mtoa povu ndo utakufa kwa ngoma.
 
Mwenyezi Mungu ampe wepesi wa kuhimili msiba. Pole sana Ajibu
 
Daaaaaah, ngumu sana maishan ukitokewa na hii kitu, nampa pole sana
 
Back
Top Bottom