kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
Umetoa ushauri usiofikiriwa kabisa na kwa wakati sahihi japo huwezi kueleweka haraka...!!!!Pole sana mfiwa. Akachek ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa ushauri usiofikiriwa kabisa na kwa wakati sahihi japo huwezi kueleweka haraka...!!!!Pole sana mfiwa. Akachek ngoma
Mbwa weeeeee..... Nakuhakikishia utakufa kwa ngoma wewe mkuuPole sana mfiwa. Akachek ngoma
Sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea.View attachment 506018
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya Ibrahim Ajibu na Laudit Mavugo . Baadae Mtoto wa Ajibu alifariki . Leo tena Simba imeshinda mabao 2-1 ajibu tena amefunga yule Mama wa yule Mtoto naye Amefariki Jana. R. I.
Mara uniite mbwa mara mkuu.... mbonq huelewek!!? Mbwa kwako ni mkuu!!? Wewe utakuwaje sasa kama mbwa ni mkuu wako!? Wewe mtoa povu ndo utakufa kwa ngoma.Mbwa weeeeee..... Nakuhakikishia utakufa kwa ngoma wewe mkuu
Bull shiitMara uniite mbwa mara mkuu.... mbonq huelewek!!? Mbwa kwako ni mkuu!!? Wewe utakuwaje sasa kama mbwa ni mkuu wako!? Wewe mtoa povu ndo utakufa kwa ngoma.