Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe

Poleni wafiwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Sema neno lolote Kuhusu Hili...??

Mana inaonekana Unadukuduku Moyon....!!!
 
Ni bora ahamie Yanga tu sasa maana hakuna namna!!
 
Sijawaji muona Ibra ana furaha.Kama vile kuna vitu vinamsonga sana.

Mwenyezi Mungu ampe wepesi mja wake.Nakumbuka Canavaro pia aliwahifiwa na mkewe wakati wa kujifungua.Ni pigo kwakweli na inamchukua mtu muda kuwa sawa tena
 
Alikuwa mke wake kweli au mchepuko? Yaani ufiwe mke jana, leo unapata wapi nguvu za kucheza mpira? Hebu ondoeni uchuro hapa!!
 
Du mtihani kweli atacheza kweli mpira tena huyu
Na ndo inatakiwa afanye hivyo aches, dedication ya mchezo wa leo iwe kwa mkewe..ndo maisha ya wenzetu wanavoish mtu anafiwa na mama mzazi siku hiyo hiyo anaingia uwanjan ata kipind cha pili
Alikuwa mke wake kweli au mchepuko? Yaani ufiwe mke jana, leo unapata wapi nguvu za kucheza mpira? Hebu ondoeni uchuro hapa!!
 
Alifeli vipimo vya Afya?alivyoenda kwa waarabu for trials...huyu anapenda sana "mama zake wadogo"kaulize Ilala nzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…