Tabaka la elimu Tanzania litatumaliza, Rais, Waziri wa Elimu tufanyeni jambo hili kwa kasi laweza saidia

Tabaka la elimu Tanzania litatumaliza, Rais, Waziri wa Elimu tufanyeni jambo hili kwa kasi laweza saidia

Wabadilishe ili shule zao zife.hujui kwenye hizi English medium ukiachilia za dini nyingi wanahisa zao?nenda pale kaizerege/Kemobos ndo utajua nani wamiliki.
 
Wabadilishe ili shule zao zife.hujui kwenye hizi English medium ukiachilia za dini nyingi wanahisa zao?nenda pale kaizerege/Kemobos ndo utajua nani wamiliki.
Kweli unachoongea ila mbona shule za secondary za private na Serikali zipo ?

Hili Jambo kweli watalipiga vita ila najua rais akitamka watafanya nini ni swala la maamuzi
 
Uwezo utaonekana tu ila mbele ya safari katika kukimbizana na fulsa utofauti utakua mkubwa tu
Labda tu useme connection walizo nazo watoto wa matajiri na watu maarufu "kusaidiwa" na wazazi/ndugu zao.
 
Labda tu useme connection walizo nazo watoto wa matajiri na watu maarufu "kusaidiwa" na wazazi/ndugu zao.
Nakuelewa Sana mkuu , ila pamoja na kuwa vijana wetu wapo vizuri kichwani ila tukubali lugha ya malkia imekua ikiwaangusha Sana Katika fulsa za ushindani kwenye ajira ukiachana na zile za ndani ya nchi,

Lakini pia serikali KWa Sasa inajikita Sana kwenye vyuo vya Kati, Kama Veta ambapo vijana watasomea fani tofauti, ila ni vizuri kuwekeza huku chini kwamba kijana ameenda veta lakini KWa kua ameandaliwa vizuri chini ikakuwa kwepesi pia kutransform ile fani yake amechukua kule katika njia mbalimbali Ili kuleta tija kwenye kipato Chake kupitia Kitaifa au kimataifa
 
Tatizo linaanza kwa wazazi na siyo shuleni
Kivipi , kwamba tatizo la wazazi ni kukosa pesa za kuwapeleka watoto wao kwenye shule binafsi za msingi ambazo zimeonekana kuandaa vijana vizuri ? au tatizo ni uchumi

Tusiwatwishe wazazi mizigo isiyokuwa na tija kisa umaskini wao, Cha msingi ni serikali kutimiza wajibu wake basi,

Mbona matatizo ya wazazi kulalamikiwa hatuyasikii KWa watoto wanaopelekwa kwenye shule binafsi ,ila kwenye shule za uma ndo mmekua mkiyasema

Leo wapo watanzania hulazimika peleka watoto wao Kama Uganda kusoma shule za kawaida na mtoto anarudi akiwa vizuri, kipi Uganda wanatuzidi mpaka sisi tushindwe?

Inasemekana wakati ule wa E. Afrika community , shule zote za msingi Mtala unikua mmoja na ulifanyika mtiani mmoja ndani ya nchi wanachama, sisi tukaja tukapiga chini wakati ule ya sintofaham ya umoja huo na kutengeza Mtala wa kwetu, ila inasemekana wenzetu waliendelea na Mtala huo, hapa

Niombe mwenye kuelewa hili vizuri kutufafanulia vizuri , ila wenda apa ndo tulifanya makosa makubwa Kama nchi kwenye elim yetu, ni wakati wa kuinuka tena ,
 
Tukitaka kujua vizuri kwa namna Tanzania elimu yetu ya msingi ilivyo na Matabaka na imearibiwa pakubwa Kama Sio kutoichanganya Kama karanga utaona,

Leo tunasema au Serikali inasema shule ya msingi ni miaka Saba, lakini shule binafsi mtoto anaeanza pale mpaka anamaliza la Saba ni miaka 10 KWa maana

Mtoto anaanza BABY CLASS then MIDDLE CLASS then PRE UNIT ndo anakuja la kwanza labda ndo maana hata madarasa yao huwa yanatosha

Kwetu upande wa serikali mtoto anaanza PRE UNIT(chekechea) then la kwanza,

Haya mtiani ya mwisho Hawa wanafanya yenye lugha ya kingereza , Hawa lugha ya baba wa Taifa, leo ni ngum Sana mtiani wa aina moja labda wa la nne unaofanywa na mwanafunzi toka shule binafsi ukaweza fanywa na mwanafunzi KWa ufanisi kutoka shule ya Selikali kwa darasa lilelile, shida lugha( kingereza)

Maana yake nchi moja ila mifumo miwili tofauti ya elim Sasa na sisi upande wa serikali twende nao sawa Mtashangaa Madarasa yatakua yanatosha KILA mwaka nawambieni maana kwenye mfumo huu Kuna kuwa na mchwijo kulingana na uelewa wa mtoto kutoka hatua MOJA kwenda nyingine, ila mfumo wa Sasa ukiandikisha mia mbili jua wote wataingia la kwanza,

Lakini pia inatoa nafasi ya serikali kujipanga pasipo kukimbizana kuweza kuongeza darasa na miundombinu mingine kwenye shule husika lingana na idadi ile itaingia darasa la KWANZA baada ya step zote tatu,

Ndo maana mwanzilishi wa shule za binafsi leo anaweza anza na Baby class ila mpaka mtoto afike au kumaliza pre unit utamkuta ameongeza madarasa mawili ,mdomdogo mpaka shule inakamilika,
 
Back
Top Bottom