Tatizo linaanza kwa wazazi na siyo shuleni
Kivipi , kwamba tatizo la wazazi ni kukosa pesa za kuwapeleka watoto wao kwenye shule binafsi za msingi ambazo zimeonekana kuandaa vijana vizuri ? au tatizo ni uchumi
Tusiwatwishe wazazi mizigo isiyokuwa na tija kisa umaskini wao, Cha msingi ni serikali kutimiza wajibu wake basi,
Mbona matatizo ya wazazi kulalamikiwa hatuyasikii KWa watoto wanaopelekwa kwenye shule binafsi ,ila kwenye shule za uma ndo mmekua mkiyasema
Leo wapo watanzania hulazimika peleka watoto wao Kama Uganda kusoma shule za kawaida na mtoto anarudi akiwa vizuri, kipi Uganda wanatuzidi mpaka sisi tushindwe?
Inasemekana wakati ule wa E. Afrika community , shule zote za msingi Mtala unikua mmoja na ulifanyika mtiani mmoja ndani ya nchi wanachama, sisi tukaja tukapiga chini wakati ule ya sintofaham ya umoja huo na kutengeza Mtala wa kwetu, ila inasemekana wenzetu waliendelea na Mtala huo, hapa
Niombe mwenye kuelewa hili vizuri kutufafanulia vizuri , ila wenda apa ndo tulifanya makosa makubwa Kama nchi kwenye elim yetu, ni wakati wa kuinuka tena ,