Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

si sahihi kabisa kulinganisha TAL na Nelson Mandela, huyu ni TAL ni mtafutaji maisha kama sisi wengine
Angekuwa mtafutaji maisha, wangeishapatana mezani na kumaliza biashara ya manunuzi.
 
Bwana yule alitaka kumuua TL ila alitangulia yeye,now wamemfunga ila bado wanapata shida wao
 
Kuna tofauti kubwa sana..LISU ni pro-wazungu wakati MANDELA ni anti-wazungu
unachanganya nikweli Mandela alikuwa ant-wazungu usemavyo lisu pia yupo ant-makaburu weusi ukisema lisu Yuko pro-wazungu unakosea ......

ieleweke Mandela na lisu wakosawa kupitia Nia haki isipokuwa kinachowatofauti ni kwenye rangi za watawala
 
Lisu ni biggest loser i.e flop, underdog, or washout
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ