Tabasamu la Rais Samia, Tabasamu mbele ya Tundu Lissu, Kiongozi wa Chama Cha Upinzani Nchini (CHADEMA)

... Rais Samia anampenda sana Lissu sema wahafidhina waliomzunguka ndio tatizo; hana jinsi.
Inawezekana kweli

Wahafidhina wamemind sana jana na leo.

Wengine wameleta thread humo badala ya kuzungumzia the most important issues za mazungumzo badala yake wamezungumzia minor issue ya passport iliyopotea. Seriously [emoji15]

Tunataka Tz yenye amani ya kweli sio ya midomoni.

Sio sifa nzuri kuwa wakimbizi wa kisiasa haimsadii hata Rais mwenyewe.
 
kesho chadema wategemee furaha au neno la furaha kutoka kwa jaji lakini hiyo wajue ni kazi ya tundu lissu makubaliano waliyokubaliana na mama wasije wakaanza kusema wameshinda hata lissu kaona maji ya shingo kamuanguakia mama
 
Mhe. Tundu Lissu amefurahi sana na inaonekane amefarijila sana sana.
ila anatakiwa ajifunze kitu kimoja tu nacho ni;
1. Unapo heshimiwa au unapo onyeshwa uungwana nawe uwe hivyo hivyo.

Rudi nyumbani tuijenge nchi yetu.
... unaandika ukiwa na maumivu makali kweli kweli. Pole sana!
 
kesho chadema wategemee furaha au neno la furaha kutoka kwa jaji lakini hiyo wajue ni kazi ya tundu lissu makubaliano waliyokubaliana na mama wasije wakaanza kusema wameshinda hata lissu kaona maji ya shingo kamuanguakia mama
Team roho mbaya. Mtaungulia rohoni mpaka lini?
 
Mhe. Tundu Lissu amefurahi sana na inaonekane amefarijila sana sana.
ila anatakiwa ajifunze kitu kimoja tu nacho ni;
1. Unapo heshimiwa au unapo onyeshwa uungwana nawe uwe hivyo hivyo.

Rudi nyumbani tuijenge nchi yetu.
Mimi Mag3 ninachojua kwa hakika ni moja tu nalo ni kuwa Rais wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, imebidi afunge safari hadi nchini Ubelgiji ili aweze kukutana na kubadilishana mawazo na Makamu mwenyekiti wa upinzani Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Nisichokijua kwa uhakika lakini nahisi ndicho kilichokusudiwa ni kuwa huu mkutano wa hawa watu wawili uunufaishe zaidi uongozi wa nchi katika kulitakasa taifa na kufungua kadirisha ka mwanga kutokomeza giza totoro lililotanda nchini kwa muda mrefu.
 
kesho chadema wategemee furaha au neno la furaha kutoka kwa jaji lakini hiyo wajue ni kazi ya tundu lissu makubaliano waliyokubaliana na mama wasije wakaanza kusema wameshinda hata lissu kaona maji ya shingo kamuanguakia mama
Mmesha chelewa!
 
View attachment 2121712
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.

Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea maombi ya Lissu akiomba waonane.

Kwa moyo wenye upendo alionao Mama Samia unadhani angekataa? Akatae vipi wakati yeye ni Mama wa kila Mtanzania aliyepo ndani na nje ya Nchi yetu?

Akatae vipi wakati yeye habagui? Kwake kila mmoja ni sawa, uwe CCM, ACT au Chadema mbele ya Rais Samia kila mmoja ni sawa.

Wameongea Nini? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inasema ni mambo yanayohusu ustawi wa Nchi yetu. Wooow just woow.

Hongera Rais Samia, Hongera Mama yetu, Tuko salama kwenye mikono yako.

Kazi zako, Mipango yako, Upendo wako tuufananishe na nini? Jibu ni hakuna. Wewe ni Samia, Rais wetu na Mama yetu.
Mbele ya Lisu au camera ??
 
Kuna mtu bado anawaamini ufipa zaidi ya misukule yao.

cdm.jpeg
 
Ukiangalia sura ya picha ya Mama na Ndugai vs Mama na Lissu utagundua ule msemo wa Mama kwamba aliambiwa watakaomsumbua ni wa Kijani na si wengine una maana kubwa.
 
Mchakato mzuri ni basi tu kuna watu watanuna
Umenena sawa.
Maana hapa Bongo wapinzani wametafuta kukutana na Mh. Rais lakini wapambe waka funga milango yote. Yaani hapo walipo wana enda haja kama Swila.
Hata kwa hii hatua tusishangae kusikia hiki kikao kiliandaliwa na EU.
Jambo kuu la kujiuliza, je? Mama akirudi, atatimiza waliyo ongea?
Na kama ata yatimiza kuna wasaidizi wake watakuwa hawana kazi tangu jana. Tusubiri mkeka.
 
Hongera Rais wetu mama Salmia Suluhu Hassan kwa kukutana na mpinzani wako wa kisiasa!!! Umeleta somo kubwa siyo tu kwa Watanzania bali dunia nzima.Mungu akubariki mama yetu kwa hatua uliyoichukua.Umeliunganisha Taifa letu.Na umekubalika zaidi.
Lissu mbona ni mzee wa kitengo wa kitambo sana.
 
View attachment 2121712
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.

Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea maombi ya Lissu akiomba waonane.

Kwa moyo wenye upendo alionao Mama Samia unadhani angekataa? Akatae vipi wakati yeye ni Mama wa kila Mtanzania aliyepo ndani na nje ya Nchi yetu?

Akatae vipi wakati yeye habagui? Kwake kila mmoja ni sawa, uwe CCM, ACT au Chadema mbele ya Rais Samia kila mmoja ni sawa.

Wameongea Nini? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inasema ni mambo yanayohusu ustawi wa Nchi yetu. Wooow just woow.

Hongera Rais Samia, Hongera Mama yetu, Tuko salama kwenye mikono yako.

Kazi zako, Mipango yako, Upendo wako tuufananishe na nini? Jibu ni hakuna. Wewe ni Samia, Rais wetu na Mama yetu.
"Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu na kuwa wamoja kama taifa, ni wakati wa kufarijiana, kuonyesha upendo, udugu wetu, kudumisha amani yetu, kuenzi utu wetu, uzalendo wetu na utanzania wetu.

Huu si wakati wa kutazama mbele kwa mashaka bali ni wakati wa kutazama mbele kwa matumaini na kujiamini. Huu sio wakati wa kutazama yaliyopita lakini ni wakati wa kutazama yaliyo mbele.

Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu. Si wakati wa kunyosheana vidole bali ni wakati wa kushikana mikono. Ni wakati wa kufutana machozi ili tuweke nguvu zetu pamoja na tujenge Tanzania yetu, Tanzania mpya
."

By Mhe. Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania_19 Machi, 2021
 
Mimi Mag3 ninachojua kwa hakika ni moja tu nalo ni kuwa Rais wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, imebidi afunge safari hadi nchini Ubelgiji ili aweze kukutana na kubadilishana mawazo na Makamu mwenyekiti wa upinzani Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Nisichokijua kwa uhakika lakini nahisi ndicho kilichokusudiwa ni kuwa huu mkutano wa hawa watu wawili uunufaishe zaidi uongozi wa nchi katika kulitakasa taifa na kufungua kadirisha ka mwanga kutokomeza giza totoro lililotanda nchini kwa muda mrefu.
Sahihi Mag3
 
... Rais Samia anampenda sana Lissu sema wahafidhina waliomzunguka ndio tatizo; hana jinsi.

Uko sahihi kabisa. Na hata haikushangaza kipindi kile alipofunga safari mpaka Nairobi Kenya kwenda kumjulia hali, mara tu baada ya wale wapuuzi akina nanihiii......, wakiongozwa na yule nanihiii......., kummiminia risasi za kutosha tu kule Dodoma.
 
Back
Top Bottom