Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Inawezekana kweli... Rais Samia anampenda sana Lissu sema wahafidhina waliomzunguka ndio tatizo; hana jinsi.
... unaandika ukiwa na maumivu makali kweli kweli. Pole sana!Mhe. Tundu Lissu amefurahi sana na inaonekane amefarijila sana sana.
ila anatakiwa ajifunze kitu kimoja tu nacho ni;
1. Unapo heshimiwa au unapo onyeshwa uungwana nawe uwe hivyo hivyo.
Rudi nyumbani tuijenge nchi yetu.
Hatujali watanuna au wacheke.Mchakato mzuri ni basi tu kuna watu watanuna
Team roho mbaya. Mtaungulia rohoni mpaka lini?kesho chadema wategemee furaha au neno la furaha kutoka kwa jaji lakini hiyo wajue ni kazi ya tundu lissu makubaliano waliyokubaliana na mama wasije wakaanza kusema wameshinda hata lissu kaona maji ya shingo kamuanguakia mama
Mimi Mag3 ninachojua kwa hakika ni moja tu nalo ni kuwa Rais wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, imebidi afunge safari hadi nchini Ubelgiji ili aweze kukutana na kubadilishana mawazo na Makamu mwenyekiti wa upinzani Mh. Tundu Antiphas Lissu.Mhe. Tundu Lissu amefurahi sana na inaonekane amefarijila sana sana.
ila anatakiwa ajifunze kitu kimoja tu nacho ni;
1. Unapo heshimiwa au unapo onyeshwa uungwana nawe uwe hivyo hivyo.
Rudi nyumbani tuijenge nchi yetu.
Mmesha chelewa!kesho chadema wategemee furaha au neno la furaha kutoka kwa jaji lakini hiyo wajue ni kazi ya tundu lissu makubaliano waliyokubaliana na mama wasije wakaanza kusema wameshinda hata lissu kaona maji ya shingo kamuanguakia mama
Mbele ya Lisu au camera ??View attachment 2121712
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.
Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea maombi ya Lissu akiomba waonane.
Kwa moyo wenye upendo alionao Mama Samia unadhani angekataa? Akatae vipi wakati yeye ni Mama wa kila Mtanzania aliyepo ndani na nje ya Nchi yetu?
Akatae vipi wakati yeye habagui? Kwake kila mmoja ni sawa, uwe CCM, ACT au Chadema mbele ya Rais Samia kila mmoja ni sawa.
Wameongea Nini? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inasema ni mambo yanayohusu ustawi wa Nchi yetu. Wooow just woow.
Hongera Rais Samia, Hongera Mama yetu, Tuko salama kwenye mikono yako.
Kazi zako, Mipango yako, Upendo wako tuufananishe na nini? Jibu ni hakuna. Wewe ni Samia, Rais wetu na Mama yetu.
Ilikuwaje sura ya Hon.Jobless ikawa kama ya Bambo hapa? 😁
View attachment 2121712
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.
Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea maombi ya Lissu akiomba waonane.
Kwa moyo wenye upendo alionao Mama Samia unadhani angekataa? Akatae vipi wakati yeye ni Mama wa kila Mtanzania aliyepo ndani na nje ya Nchi yetu?
Akatae vipi wakati yeye habagui? Kwake kila mmoja ni sawa, uwe CCM, ACT au Chadema mbele ya Rais Samia kila mmoja ni sawa.
Wameongea Nini? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inasema ni mambo yanayohusu ustawi wa Nchi yetu. Wooow just woow.
Hongera Rais Samia, Hongera Mama yetu, Tuko salama kwenye mikono yako.
Kazi zako, Mipango yako, Upendo wako tuufananishe na nini? Jibu ni hakuna. Wewe ni Samia, Rais wetu na Mama yetu.
Umenena sawa.Mchakato mzuri ni basi tu kuna watu watanuna
Lissu mbona ni mzee wa kitengo wa kitambo sana.Hongera Rais wetu mama Salmia Suluhu Hassan kwa kukutana na mpinzani wako wa kisiasa!!! Umeleta somo kubwa siyo tu kwa Watanzania bali dunia nzima.Mungu akubariki mama yetu kwa hatua uliyoichukua.Umeliunganisha Taifa letu.Na umekubalika zaidi.
"Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu na kuwa wamoja kama taifa, ni wakati wa kufarijiana, kuonyesha upendo, udugu wetu, kudumisha amani yetu, kuenzi utu wetu, uzalendo wetu na utanzania wetu.View attachment 2121712
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo.
Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea maombi ya Lissu akiomba waonane.
Kwa moyo wenye upendo alionao Mama Samia unadhani angekataa? Akatae vipi wakati yeye ni Mama wa kila Mtanzania aliyepo ndani na nje ya Nchi yetu?
Akatae vipi wakati yeye habagui? Kwake kila mmoja ni sawa, uwe CCM, ACT au Chadema mbele ya Rais Samia kila mmoja ni sawa.
Wameongea Nini? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inasema ni mambo yanayohusu ustawi wa Nchi yetu. Wooow just woow.
Hongera Rais Samia, Hongera Mama yetu, Tuko salama kwenye mikono yako.
Kazi zako, Mipango yako, Upendo wako tuufananishe na nini? Jibu ni hakuna. Wewe ni Samia, Rais wetu na Mama yetu.
Sahihi Mag3Mimi Mag3 ninachojua kwa hakika ni moja tu nalo ni kuwa Rais wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, imebidi afunge safari hadi nchini Ubelgiji ili aweze kukutana na kubadilishana mawazo na Makamu mwenyekiti wa upinzani Mh. Tundu Antiphas Lissu.
Nisichokijua kwa uhakika lakini nahisi ndicho kilichokusudiwa ni kuwa huu mkutano wa hawa watu wawili uunufaishe zaidi uongozi wa nchi katika kulitakasa taifa na kufungua kadirisha ka mwanga kutokomeza giza totoro lililotanda nchini kwa muda mrefu.
... Rais Samia anampenda sana Lissu sema wahafidhina waliomzunguka ndio tatizo; hana jinsi.
Hii picha Kama wamelazimishwa kupigwa....
Wapo wengi hata humu jukwaa wanajaza saver.Hili jambo kuna Watu wenye roho za kimaskini Uchoyo Kichawi mbaya zaidi ya shetani WAMENUNA