SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

Stories of Change - 2022 Competition

Kendrick de hustle

New Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿.

Kwenye sketa ya ELIMU.
Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama madktari,wasiasa,rubanin.k hivyo wakati mnaongeza ujenzi wa shule pia boresheni mishara Yao.. Mtajenga shule nyingi kufikiria kwamba mtaongeza chachu ya ufahulu kumbe mnadidimiza kutokana waalimu wanakuwa hawana moyo kwenye kufundisha...

kwenye sketa ya AFYA.
mabadiliko ni kwanzia kwa wataoji huduma, wengi wao wanakuwaga na kauli zisizo ridhisha kwa wagonjwa wanaofika, ninachotambua mimi karibia kila fani ya kazi Kuna kuwepo na usiri (UNETHICAL & ETHICAL). wauguzi wengine wanatoa Siri za wagonjwa kwa kauli isiyoridhisha na kwa sauti. Pia kwenye kata yangu ningependa kuwepo na kituo Cha afya kinachopokea wagonjwa masaa 24 na sio 12 maana kituo kichopo hakina vifaa na kinafanya kazi masaa 12 kutokana ni Cha jeshi la magereza na sio Cha wananchi hvy wa mama wa mama wajawazito wanapata shida sana..

Kwenye Sketa ya UTAWALA.
Katika upande wa jeshi letu la polisi sote tunafahamu kazi Yao kubwa ni kulinda raia na Mali zetu, wapo wachache wanaokosesha sifa hizo kutokana wanatumia ubavu wao kwa ajili ya kuwa waonea wale wenye kipato Cha chini.

Tanzania Police Force acheni kutumika watu wanadai mashai Yao nyie mnatumwa na watu ambao hao hao ndo wanawaonea kuwakandamiza mishahara hamuongezewi Ila kiherehere Cha kukamata watu wanI dai maslai Yao mnacho. kuwepo na haki saw kwa kila raia wasiegemee upande Moja.

Kwenye Sketa ya TEKONLOJIA.
ili kupunguza utazamaji wa ponogafi katika umri wa chini inabidi serekali itengenezee tovuti(serve)Kam google n.k ambayo inawawezesha wanafunzi kutafuta na kusoma maswala yote yanayohusu elimu pekee huku zikikwa zimefungiwa hizo search engine ya ponogafi wakisha tengenza basi wazungumze na wazalishaji wa simu waingie mkataba wa kuzalisha simu za watoto ambazo litawekwa serve hyo naamin katika hili tutapunguza kwa kiasi uharibikiwaji wa watoto mashuleni.

Ni hayo tu nimpenda kupendekeza katika mabadiliko katika nchi yangu hata kama niliposhinda ila naomba sana mawazo yangu yatazamwe.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom