Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

Hapo kwenye kuwa na watoto wengi binafsi napinga kabisa. Wingi wa watoto unakufanya akili iwe active muda wote mana utawazia ada, chakula na malazi. Lakini pia kama huna watoto wengi wa kuwazaa, kwa mila za kiafrika ujue ndugu watakuletea watoto wao uwalee.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
imagn una watoto 7 af incoming ni ndogo kuliko matumizi huoni kuwa unatukuwa unarudi nyuma daily na kutofikia malengo
but incoming ina relate na matumizi bs unauwezo wa kumanage vt vingine vikawa sawa kbs familia ukailea vzr na still ukaweka savings
 
Back
Top Bottom