katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
kupaka kalio mafuta kawaida tu na kidume anaetaka kupaka yeye apake tu jambo zuri sana
Unachotafuta utakipata
Kwakweli mimi mtoa utanisamehe kupaka tako mafuta siwezi
Yani hua nataman hata kuyapaka vumbi basi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemeji umenichekesha sanaUmefanya vizuri point ya kupaka mafuta kwenye matako kuiweka mwisho, maana wengi tungeishia hapo
Hiyo 11 aisee! Nilikuwa na mchumba wangu shombe la kiarabu/Msambaa kutoka Shinyanga ilibidi nimteme. Alikuwa akija Dar tukifuatana mitaani watu wote wanatutizama kwa sauti yake ilivo juu. Na accent yake ya Kisukuma basi nomaa!11.Kuongea Kwa Sauti Kubwa wakati huyo mtu unayeongea naye yupo karibu yako.
12.Kutosalimia watu nayo sio ustaraabu.
Me huwa napaka mafuta baada ya kuvaa nguo, Hilo la makalio we na wenzako ndio mnaweza.
[emoji23][emoji23]Umefanya vizuri point ya kupaka mafuta kwenye matako kuiweka mwisho, maana wengi tungeishia hapo
13. Kutafuna chakula kwa sauti wakati mwingine unaongea chakula kikiwa mdomoni.
14. Kuna wale wanao koroma kama kuku mwenye vifaranga kama anavuta makohozi...huwa wanadai koo linawasha.
15. Kuvuta chai kama unakunywa uji
HaaaahaaaMwanaume unaanzaje kupaka matako mafuta? Unapaka ili nini? Mambo za mashoga Hizo bro acha kuzingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba zake tafadhalHiyo 11 aisee! Nilikuwa na mchumba wangu shombe la kiarabu/Msambaa kutoka Shinyanga ilibidi nimteme. Alikuwa akija Dar tukifuatana mitaani watu wote wanatutizama kwa sauti yake ilivo juu. Na accent yake ya Kisukuma basi nomaa!
Wenzake wapi mkuu?...hahaMe huwa napaka mafuta baada ya kuvaa nguo, Hilo la makalio we na wenzako ndio mnaweza.
hv ujasili wa kupangiana matumizi ya mikono yetu hasa swala la kupiga gitaa a.k.a kukuna p...mbu umeutoa wapi wewe ?Habari zenu wanaJamiiForums.
Leo nataka niwajuze tabia ambazo mimi sizipendi ambazo sio za kistaarabu ambazo naziona kwenye maisha yetu ya kila siku
1. Acha kujisokonyoa puani na vidole vyako maana pua ina bakteria wengi sana
2. Piga mswaki kwa dakika 5 hadi 7 sugua kila aina ya kona hasa ulimi unabeba uchafu sana. Unakuta anapiga mswaki dakika 2 tu huyooooo. Kinywa kinakuwa kichafu hasa wanawake wengi hawapendi kupiga mswaki
3. Acha kujishika sehemu za siri hata kama zinawasha, ikitokea unawashwa jikunie hata kwa nje ya nguo
4. Ikiwezekana avoid hand shaking (KUSHIKANA MIKONO) huwa tunaambukizana sana bakteria
5. Ukinywa soda suuza kinywa na maji kwa kuyanywa ukiacha hivyo basi meno yako yataaribika
6. Nawa maji ukitoka chooni kwa haja ndogo au kubwa
7. Usipenge kamasi kwa mikono mitupu hakikisha unakuwa na kitambaa maalumu
8. Muungwana yeyote anakuwa na kitambaa cha kujifutia jasho ukijiona unatembea bila ya kitambaa ww ni mchafu.
9. Hakikisha makalio yako unayapaka mafuta, hasa wanaume hatupaki makalio yetu mafuta unakuta makalio magumu kama mabanzi ukikaa unasikia maumivu
10. Anika nguo zako za ndani kwenye jua la kutosha sio unavaa nguo ya ndani na uvundo
Wasaalamu.Povu linakaribishwa
Quinton Canosa