Tabia 10 mbaya za watu tunaoishi peke yetu

Si mpaka uwe na hiyo hela ya kuwalipa sasa
 
Naishi mwenyewe ila tabia zote hizo sina hata moja kuhusu wageni sina urafiki na watu kufikia kufatana home labda iwe issue sensitive sana
 
Ongezea.
11. Kuamua kula mboga yote au nusu ya sufuria baada ya kuonja na kuona imeiva kama vile nyama au maharage na kuona uvivu kuunga na kupika ugali au wali.
12. Chai au soda ndio chakula kikuu nyumbani na cha haraka.
 
If you make your bed every morning you will have accomplished the first task of the day,

It will give you a small sense of pride, and it will encourage you to do another task, and another, and another.
 
Kama ameweza kumiliki vitu vya ndani atashindwa kupata Afu 10 ya kumlipa mdada wa kufanya kazi oneday?

Kama ameweza kumiliki vitu vya ndani atashindwa kupata Afu 10 ya kumlipa mdada wa kufanya kazi oneday?
Mkuu, uko serious? Mtu mwingine mpaka amenunua kitanda plus godoro amejukusanya miezi sita, kila senti inayoingia mfukoni ipo kwenye bajeti ya mambo muhimu hiyo elfu kumi ya kumpa mtu kila wiki inatoka wapi? Mimi nasema watu wajitahidi tu kufanya usafi hata mara mojamoja hayo mengine majaliwa ya Mungu
 
Kupanga ni kuchagua ,kama hawezi kufanya usafi yeye mwenyewe basi afanye utaratibu wa bajeti kama alivyopanga bajeti ya kitanda na bajeti ya kodi.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
mm kwakweli huaga na jali kazi tu !. Mafanikio kwanza mapenz usafi na usharobalo c vipaumbele kwangu.

ni kaz na mm mm na kaz ova.
 
Sijaona uongelee tabia ya kujichukulia sheria mkononi. Wanaume kuwabaini ni hadi umpekue ila wanawake lazima ukute ana dudu la plastic kwenye kabati na siku hizi wanatumia hadi yenye battery πŸ”‹.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zipo za Umeme pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…