Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi

Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi

Joined
Dec 17, 2022
Posts
73
Reaction score
46
1. Uwezo wa kukamata wadudu au fedha.
Maskini na watu wapambanaji huwekeza muda wao wa kazi kuzipata fedha wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi kujenga mali itakayomsaidia kutengeneza fedha kwa ajili yao.

Kivipi? Buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu kwa ajili yao.

2. Buibui hufanya mambo yao kimya kimya. Huwezi hata siku moja ukakuta buibui akiwa anatengeneza utando wake, badala yake buibui hutengeneza utando wake,huku wadudu wengine wakiwa hawafahamu.

3. Buibui hubadilisha utando wake kila siku.
 
Back
Top Bottom