Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu ulikua unamlenga ila naona ujapenda tu kumtajaMwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia;
1) Mara nyingi watu hao hujijengea "KIBURI NA JEURI" katika maisha yao.
2) Huwa wanajiona kama "MUNGU WATU" na "KUJISAHAU SANA".
3) Huwa wanajiona "HAWAKOSEI" na wanachukizwa sana "KUKOSOLEWA".
4) Huwa wana "HULKA YA ROHO MBAYA", na kutopendezwa na maendeleo ya wenzao na watu wanaowazidi maarifa na elimu.
5) Huwa wana "UADUI KWA WATU NA KUTOKUAMINI WATU WENGINE".
6) Huongoza taasisi kama vile wanaongoza familia zao wanakotoka.
NB: Hii athari yote hutokana na "KUHESHIMIWA KUPITA KIASI, KUOGOPWA, KUSIKILIZWA SANA HATA WANAPOKOSEA NA KUTUKUZWA" katika familia masikini zao walizotoka.
Nlimwona labda anaongea kwasababu alikua amelewa (alikua mpenzi wa pombe kali). Ila kadri miaka inavyokwenda, naamini maneno yale.
Ni kweli kabisa. Hata kwenye hii thread ulionesha jinsi ulivyo mweupeMoja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz.
1: Wanadhani utajiri ni kunyenyekewa na kila mtu.
Hawa utakuta bila kupiga Magoti Ndugu,kanisa,msikiti, masikini hapewi msaada.
2: Hofu ya kupoteza ni Kubwa kuliko hamasa ya kupata zaidi.
Hii ilimkuta msanii Jack Chein alipoingia Hollywood. Wenzake wakitumia nguo hawazirudii zinachukuliwa kwa ajili ya kusaidia watu. Yeye alikuwa anatunza hadi Nguo za ndani. Kumbuka alitokea China ambako hali ilikuwa mbovu kwa Sera mbovu za babu Yao Mao.
3: Wengi hawawezi kudumu katika hali ya utajiri. Watapambana kutumia hovyo hadi warudi katika umasikini bila kujua.Kumbuka Tyson alikuwa na msafara wa Magari na anasa za kila Aina. Ila ndani ya muda mfupi tu akawa masikini wa kutupwa, madeni anadaiwa kuliko mama wa uswahilini ambaye anadaiwa upatu na vikoba hadi anauziwa madera na wenzake.
4: wanaulimbukeni ambao haujali updates. Gari kwa sababu alinunua Benzi enzi zile nchi nzima wakiwa Wawili tu wenye benzi, basi hata leo ambapo kuna latest version ya Benzi atakomaa tu wakati watu wanamshangaa. Hii tabia alikuwa nayo Prof mmoja UDSM. Anaipenda pijoti yake balaa hadi foronya za siti zimeisha lakini haambiliki.
Kama alinunua suti milioni moja mwaka 90, hadi Leo atakomaa nayo tu hata kama ni bwaga kama zile suruali za ngongoti.
5: Wanaamini utajiri ni wake na sio yeye na familia. Utamkuta anazunguka kwenye mahoteli makubwa anakula vyakula vya thamani, wakati mkewe na watoto huko ni ugali mchicha. Nimewahi kwenda kwa bosi mmoja Mkubwa sana wakati wa msosi tunakula ugali sembe na dagaa zimechanganywa na mchicha. Hakuna matunda, juice wala jamaa halijali balanced diet. Tulikula wote yeye, mkewe, watoto na mfanyakazi. Ila jamaa lilikuwa linazuga tu, huko kazini limeshapakia mavitu ya maana .
6: Huwa ni malimbukeni. Kama alikuwa anasali/swali ataacha, kama alikuwa anapenda kusalimia washkaji anawapiga chini wote. Muda wote wanahisi kulogwalogwa tu.
7: hawana skills za kutafuta watu ambao watakuwa msaada siku wakiishiwa. Wanakuwa wamezungukwa na watu ambao wao wanadhani wanawandesha. Au wanawategemea. Ndio wale ambao wakifulia kila mtu anawakimbia. Anabaki na wale ambao hata akiomba 500 ya kununua dagaa Gengeni hawana. Watu wa maana huwa na connection na watu wa kila kada . hata wakiishiwa bado kuna watu wanaweza kumpa Mawazo,mtaji, njia ili asidhalilike.
Ni hayo tu.
Nimekaa sehemu nimetafakari nikasema ngoja nisikae na haya Maneno Kichwani niwatupie watu wanaofikiri nao wachakate
Kumaliza mkuuMoja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz.

Uko sahihi kabisa na kama wewe ulikuwa kwenu mnajiweza na ukawa unamsaidia pindi yupo kwenye umasikini ki roho safi tu basi wewe ndo atakunyanyasa mpaka utakoma!...yaani wewe wakati unamsaidia yeye alikuwa anakufingia kwamba ngoja na mimi nipate atanikoma!!...kukulia kwenye umasikini ni kazi sana!...si mnaona nchi inavyoendaMwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia;
1) Mara nyingi watu hao hujijengea "KIBURI NA JEURI" katika maisha yao.
2) Huwa wanajiona kama "MUNGU WATU" na "KUJISAHAU SANA".
3) Huwa wanajiona "HAWAKOSEI" na wanachukizwa sana "KUKOSOLEWA".
4) Huwa wana "HULKA YA ROHO MBAYA", na kutopendezwa na maendeleo ya wenzao na watu wanaowazidi maarifa na elimu.
5) Huwa wana "UADUI KWA WATU NA KUTOKUAMINI WATU WENGINE".
6) Huongoza taasisi kama vile wanaongoza familia zao wanakotoka.
NB: Hii athari yote hutokana na "KUHESHIMIWA KUPITA KIASI, KUOGOPWA, KUSIKILIZWA SANA HATA WANAPOKOSEA NA KUTUKUZWA" katika familia masikini zao walizotoka.
Nlimwona labda anaongea kwasababu alikua amelewa (alikua mpenzi wa pombe kali). Ila kadri miaka inavyokwenda, naamini maneno yale.
acha upumbafu waza maisha yako jombaaa yanini kuwasema watu na kujadili maisha ya wenzako wakati yako yanakushinda. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika pumba kama hizi za kujadili maisha ya watu. Waza maisha yako yatakushinda. Badala ya kuwekeza akili yako kwenye kuwasema watu ni Bora uwekeze kwenye kwenye maisha yakoMoja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz.
1: Wanadhani utajiri ni kunyenyekewa na kila mtu.
Hawa utakuta bila kupiga Magoti Ndugu,kanisa,msikiti, masikini hapewi msaada.
2: Hofu ya kupoteza ni Kubwa kuliko hamasa ya kupata zaidi.
Hii ilimkuta msanii Jack Chein alipoingia Hollywood. Wenzake wakitumia nguo hawazirudii zinachukuliwa kwa ajili ya kusaidia watu. Yeye alikuwa anatunza hadi Nguo za ndani. Kumbuka alitokea China ambako hali ilikuwa mbovu kwa Sera mbovu za babu Yao Mao.
3: Wengi hawawezi kudumu katika hali ya utajiri. Watapambana kutumia hovyo hadi warudi katika umasikini bila kujua.Kumbuka Tyson alikuwa na msafara wa Magari na anasa za kila Aina. Ila ndani ya muda mfupi tu akawa masikini wa kutupwa, madeni anadaiwa kuliko mama wa uswahilini ambaye anadaiwa upatu na vikoba hadi anauziwa madera na wenzake.
4: wanaulimbukeni ambao haujali updates. Gari kwa sababu alinunua Benzi enzi zile nchi nzima wakiwa Wawili tu wenye benzi, basi hata leo ambapo kuna latest version ya Benzi atakomaa tu wakati watu wanamshangaa. Hii tabia alikuwa nayo Prof mmoja UDSM. Anaipenda pijoti yake balaa hadi foronya za siti zimeisha lakini haambiliki.
Kama alinunua suti milioni moja mwaka 90, hadi Leo atakomaa nayo tu hata kama ni bwaga kama zile suruali za ngongoti.
5: Wanaamini utajiri ni wake na sio yeye na familia. Utamkuta anazunguka kwenye mahoteli makubwa anakula vyakula vya thamani, wakati mkewe na watoto huko ni ugali mchicha. Nimewahi kwenda kwa bosi mmoja Mkubwa sana wakati wa msosi tunakula ugali sembe na dagaa zimechanganywa na mchicha. Hakuna matunda, juice wala jamaa halijali balanced diet. Tulikula wote yeye, mkewe, watoto na mfanyakazi. Ila jamaa lilikuwa linazuga tu, huko kazini limeshapakia mavitu ya maana .
6: Huwa ni malimbukeni. Kama alikuwa anasali/swali ataacha, kama alikuwa anapenda kusalimia washkaji anawapiga chini wote. Muda wote wanahisi kulogwalogwa tu.
7: hawana skills za kutafuta watu ambao watakuwa msaada siku wakiishiwa. Wanakuwa wamezungukwa na watu ambao wao wanadhani wanawandesha. Au wanawategemea. Ndio wale ambao wakifulia kila mtu anawakimbia. Anabaki na wale ambao hata akiomba 500 ya kununua dagaa Gengeni hawana. Watu wa maana huwa na connection na watu wa kila kada . hata wakiishiwa bado kuna watu wanaweza kumpa Mawazo,mtaji, njia ili asidhalilike.
Ni hayo tu.
Nimekaa sehemu nimetafakari nikasema ngoja nisikae na haya Maneno Kichwani niwatupie watu wanaofikiri nao wachakate
Mmenifungia Uzi wangu nilikuwa natoa darasa pale bila Malipo.Ni kweli kabisa. Hata kunye hii thread ulionesha jinsi ulivyo mweupe
Hongera Rais Magufuli kwa uamuzi wa kijasiri. Wewe ndiye Rais bora dunia nzima
Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma. Sasa sio wakati wa kuomba tena au kulialia ni wakati wa "Kumshukuru Mungu kwa kuliponya taifa wakati ule na sasa". Tusiyumbishwe na Maneno. Nimefuatilia Watanzania wengi sana wanapenda kufa. Yaani mchana...www.jamiiforums.com
Usipanic bro.acha upumbafu waza maisha yako jombaaa yanini kuwasema watu na kujadili maisha ya wenzako wakati yako yanakushinda. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika pumba kama hizi za kujadili maisha ya watu. Waza maisha yako yatakushinda. Badala ya kuwekeza akili yako kwenye kuwasema watu ni Bora uwekeze kwenye kwenye maisha yako
broo kama maisha yamemshinda aje kunilishia paka wanguUsipanic bro.
Hata kupoteza napo ni kucomment.
Mbona sifa zote hizi zinamgusa jirani yetu mmoja kule Chato..mzee mmoja mfupi ana kiparaMwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia;
1) Mara nyingi watu hao hujijengea "KIBURI NA JEURI" katika maisha yao.
2) Huwa wanajiona kama "MUNGU WATU" na "KUJISAHAU SANA".
3) Huwa wanajiona "HAWAKOSEI" na wanachukizwa sana "KUKOSOLEWA".
4) Huwa wana "HULKA YA ROHO MBAYA", na kutopendezwa na maendeleo ya wenzao na watu wanaowazidi maarifa na elimu.
5) Huwa wana "UADUI KWA WATU NA KUTOKUAMINI WATU WENGINE".
6) Huongoza taasisi kama vile wanaongoza familia zao wanakotoka.
NB: Hii athari yote hutokana na "KUHESHIMIWA KUPITA KIASI, KUOGOPWA, KUSIKILIZWA SANA HATA WANAPOKOSEA NA KUTUKUZWA" katika familia masikini zao walizotoka.
Nlimwona labda anaongea kwasababu alikua amelewa (alikua mpenzi wa pombe kali). Ila kadri miaka inavyokwenda, naamini maneno yale.
Si umtaje tuMwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia;
1) Mara nyingi watu hao hujijengea "KIBURI NA JEURI" katika maisha yao.
2) Huwa wanajiona kama "MUNGU WATU" na "KUJISAHAU SANA".
3) Huwa wanajiona "HAWAKOSEI" na wanachukizwa sana "KUKOSOLEWA".
4) Huwa wana "HULKA YA ROHO MBAYA", na kutopendezwa na maendeleo ya wenzao na watu wanaowazidi maarifa na elimu.
5) Huwa wana "UADUI KWA WATU NA KUTOKUAMINI WATU WENGINE".
6) Huongoza taasisi kama vile wanaongoza familia zao wanakotoka.
NB: Hii athari yote hutokana na "KUHESHIMIWA KUPITA KIASI, KUOGOPWA, KUSIKILIZWA SANA HATA WANAPOKOSEA NA KUTUKUZWA" katika familia masikini zao walizotoka.
Nlimwona labda anaongea kwasababu alikua amelewa (alikua mpenzi wa pombe kali). Ila kadri miaka inavyokwenda, naamini maneno yale.
Wewe jamaa hbr zako jiwe anazo tayari.Moja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz.
1: Wanadhani utajiri ni kunyenyekewa na kila mtu.
Hawa utakuta bila kupiga Magoti Ndugu,kanisa,msikiti, masikini hapewi msaada.
2: Hofu ya kupoteza ni Kubwa kuliko hamasa ya kupata zaidi.
Hii ilimkuta msanii Jack Chein alipoingia Hollywood. Wenzake wakitumia nguo hawazirudii zinachukuliwa kwa ajili ya kusaidia watu. Yeye alikuwa anatunza hadi Nguo za ndani. Kumbuka alitokea China ambako hali ilikuwa mbovu kwa Sera mbovu za babu Yao Mao.
3: Wengi hawawezi kudumu katika hali ya utajiri. Watapambana kutumia hovyo hadi warudi katika umasikini bila kujua.Kumbuka Tyson alikuwa na msafara wa Magari na anasa za kila Aina. Ila ndani ya muda mfupi tu akawa masikini wa kutupwa, madeni anadaiwa kuliko mama wa uswahilini ambaye anadaiwa upatu na vikoba hadi anauziwa madera na wenzake.
4: wanaulimbukeni ambao haujali updates. Gari kwa sababu alinunua Benzi enzi zile nchi nzima wakiwa Wawili tu wenye benzi, basi hata leo ambapo kuna latest version ya Benzi atakomaa tu wakati watu wanamshangaa. Hii tabia alikuwa nayo Prof mmoja UDSM. Anaipenda pijoti yake balaa hadi foronya za siti zimeisha lakini haambiliki.
Kama alinunua suti milioni moja mwaka 90, hadi Leo atakomaa nayo tu hata kama ni bwaga kama zile suruali za ngongoti.
5: Wanaamini utajiri ni wake na sio yeye na familia. Utamkuta anazunguka kwenye mahoteli makubwa anakula vyakula vya thamani, wakati mkewe na watoto huko ni ugali mchicha. Nimewahi kwenda kwa bosi mmoja Mkubwa sana wakati wa msosi tunakula ugali sembe na dagaa zimechanganywa na mchicha. Hakuna matunda, juice wala jamaa halijali balanced diet. Tulikula wote yeye, mkewe, watoto na mfanyakazi. Ila jamaa lilikuwa linazuga tu, huko kazini limeshapakia mavitu ya maana .
6: Huwa ni malimbukeni. Kama alikuwa anasali/swali ataacha, kama alikuwa anapenda kusalimia washkaji anawapiga chini wote. Muda wote wanahisi kulogwalogwa tu.
7: hawana skills za kutafuta watu ambao watakuwa msaada siku wakiishiwa. Wanakuwa wamezungukwa na watu ambao wao wanadhani wanawandesha. Au wanawategemea. Ndio wale ambao wakifulia kila mtu anawakimbia. Anabaki na wale ambao hata akiomba 500 ya kununua dagaa Gengeni hawana. Watu wa maana huwa na connection na watu wa kila kada . hata wakiishiwa bado kuna watu wanaweza kumpa Mawazo,mtaji, njia ili asidhalilike.
Ni hayo tu.
Nimekaa sehemu nimetafakari nikasema ngoja nisikae na haya Maneno Kichwani niwatupie watu wanaofikiri nao wachakate
5 star appreciationMwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia;
1) Mara nyingi watu hao hujijengea "KIBURI NA JEURI" katika maisha yao.
2) Huwa wanajiona kama "MUNGU WATU" na "KUJISAHAU SANA".
3) Huwa wanajiona "HAWAKOSEI" na wanachukizwa sana "KUKOSOLEWA".
4) Huwa wana "HULKA YA ROHO MBAYA", na kutopendezwa na maendeleo ya wenzao na watu wanaowazidi maarifa na elimu.
5) Huwa wana "UADUI KWA WATU NA KUTOKUAMINI WATU WENGINE".
6) Huongoza taasisi kama vile wanaongoza familia zao wanakotoka.
NB: Hii athari yote hutokana na "KUHESHIMIWA KUPITA KIASI, KUOGOPWA, KUSIKILIZWA SANA HATA WANAPOKOSEA NA KUTUKUZWA" katika familia masikini zao walizotoka.
Nlimwona labda anaongea kwasababu alikua amelewa (alikua mpenzi wa pombe kali). Ila kadri miaka inavyokwenda, naamini maneno yale.
Kuna mtu ulikua unamlenga ila naona ujapenda tu kumtaja
Jiwe ndio nini bro.Wewe jamaa hbr zako jiwe anazo tayari.