Tabia 7 za watu waliokulia katika umasikini uliokithiri kisha wakafanikiwa ghafla

Tabia 7 za watu waliokulia katika umasikini uliokithiri kisha wakafanikiwa ghafla

Wa kwanza ni Govinda.

Vieiti ya Geita aliipigia kelele mpaka mwenzie akasimamishwa kazi, kwasababu roho yake ni yakimasikini.
 
Hiyo namba 4 no labda ungeifafanua zaidi lkn kwa namna ulivyoandika hiyo ni tabia tu na mapenzi ya mtu kwa kitu fulani sio kwa alietoka katika wimbi la umasikini kuwa na tabia hiyo.

BILIONEA wa kwanza kabisa duniani aliyewekeza pesa nyingi katika biashara ya mafuta SAUDI ARABIA J P GETTY alikuwa anapenda sana vitu vya zamani mpk akaweka museum kwake kwa vitu vya zamani we ukiwa na kitu cha zamani valuable ambapo kwa wakati huo ni adimu yeye ananunua kwa dau lolote anapamba nyumbani kwake.

Kiasi amekufa miaka zaidi ya 40 iliyopita now nyumba yake imegeuzwa km museum 7bu vitu vingne havipo tena katika uso wa dunia mpk watalii wakienda ITALY wanapitia kutalii kwenye museam yake.

Buffet mpk sasa anaishi katika nyumba yake alonunua miaka ya 50 huko na still ina muonekano uleule wa miaka ile. Na kigari chake cha kizamani km ilivyo Marc zukerbeg anaendesha Old model tu gari yake ya kitambo vivyo hvyo kuna bilionea mwingne anaitwa INGVAR KAMPARD anaendesha VOLVO 240 ya mwaka 1993 tangu kitambo hicho mpk now.

Na hao wote wametokea maisha ya kawaida katila familia zao kabla kuwa mabilionea ila hatla bongo wapo wengi tu wenye tabia hiyo na wametokea maisha ya kawaida tu
 
Hiyo namba 4 no labda ungeifafanua zaidi lkn kwa namna ulivyoandika hiyo ni tabia tu na mapenzi ya mtu kwa kitu fulani sio kwa alietoka katika wimbi la umasikini kuwa na tabia hiyo..
Uko sahihi, kesi zote bado zinaweza kutokea kotekote.

Ika wale matajiri wakina Buffet huwa ni frugal . ndio maana hana hata PC Ofisini mwake. Tofauti ni sababu kwa nini mtu anamiliki kitu hichohicho. Huyu mdau ni kwa sababu alikinunua gharama Kubwa sasa anaona ni fahari kuendelea kuwa nacho. Ika wakina buffet wao wanachotaka ni usafiri. Kuna clip hata watoto wake flani wa kike wanalaumu.
 
Moja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz...
we unaongelea tabia za watu tu za kawaida na si waliotoka kwenye umasikini pekee

kuna waliotoka kwenye utajiri lakini ni washenzi kuliko ulio maanisha
 
Mwalimu wangu Marehemu Dr. Masumbuko Lamwai, aliwahi kunambia katika kosa kubwa mtu anaweza kufanya ni "KUMPA UONGOZI MTU ALIETOKA KATIKA HALI DUNI KIMAISHA NA AMEPATA ELIMU YEYE PEKE YAKE KATIKA FAMILIA YAKE". Aliseongeza nyama katika sentesi yake baada ya kuona kaniacha njia panda kwasababu ya umri wangu kuwa mdogo, akanambia...
Mbona unamsema rais wewe Ebo!![emoji2]
 
Back
Top Bottom