Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku
  • Vigoma
  • Baikoko
  • Vigodoro
  • Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya
  • Malaya kujianika barabarani
  • Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
 
Back
Top Bottom