Asubuhi napata sahani yangu ya mihogo na pilipili kwa wingi na mzinga wa konyagi, basi freeesh[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona kawaida tuu[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti, mihogo na konyagi duu hii Kali ya mwezi
Mimi nikitaka kulewa taratibu huwa na nunua konyagi kubwa halafu kichanganyio kinakua wine [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama chips mayai wanaume wengi tu wanakula
Vipi na kwa yule wa mihogo mibichi ya kushiba na glasi kadhaa za gongo[emoji3]Huyo ni mwamaume na nusu
Aiseee pole sana kweli haikutaki hiyo beer sipatagi hangover mieHangover
Duuh naona unatafta kujikojolea mbele za wa2 SS [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikitaka kulewa taratibu huwa na nunua konyagi kubwa halafu kichanganyio kinakua wine [emoji23] [emoji23]
Na taji tumvalishe kwa ushindi
Unalewa vizuri sana,,na taratibuEwaaaaaa. Kuna kipindi ndo ulikua mchezo wangu. Nachukua konyagi namix na dompo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasema tena wewe ni dume la mbegu shunie mm nimekupitisha
Ujue sio msosi unaokufaa