Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Hahahaha, Mzigua una vituko! Chips si chakula jamani? sasa kma hapo Dar hata hapo Tanga unatarajia ale nini? Lakini kuhusu St. Anna, ni nzuri kama unakunywa ikupe appetite ya kula. But kulipiwa bili mezani, yaani ilikuwaje kwamba hakuwa na pesa au???
 
Mfano,Mwanamke anatakiwa anywe hivi,sio kakamata beer mkononi kama mwanamme,halafu akenda chooni nyapu inanuka beer😉
vo2.jpeg
vod.jpeg
vo.jpg
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Hahaha wanaume walegevu, wasiojitambua.
 
Na Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake...mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha......hapana mkuu wewe mwambie unataka kumuangusa lakini sambi sake mwenyewe
 
Back
Top Bottom