Imenikataa kweli. Acha nirudi kwenye ngumu kumesa zangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaa hiyo inaitwa kampa kampa tena [emoji119][emoji119]Wala hukojoi. Sema mimi nilikua nanywea ndani nikishawaka napanda kitandani nalala.
Hahahaha, Mzigua una vituko! Chips si chakula jamani? sasa kma hapo Dar hata hapo Tanga unatarajia ale nini? Lakini kuhusu St. Anna, ni nzuri kama unakunywa ikupe appetite ya kula. But kulipiwa bili mezani, yaani ilikuwaje kwamba hakuwa na pesa au???Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Nalisubiria kwa hamu kweliSubilia taji lako mkuu tupo kwenye kikao
Unatumia wine gani mama? Basi nakuletea Amalurra......mzigua kwenye wine kuna ukweli aisee !wine waachien wanawake !lol
Haya matusi sasa[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]WANAUME WA DAR WANAGEGEDWA
Mimi nishakwambia lkn wakikunyakua usiseme hukuambiwa ...hahahahHapana jamani
Hahaha wanaume walegevu, wasiojitambua.Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nashangaa kuona Mwanaume anakula ubuyu au pipikijiti njiani.
aaaahhh mm sweet wine!niletee NIIFUNDE JIONIUnatumia wine gani mama? Basi nakuletea Amalurra......
Hahahahahaha......hapana mkuu wewe mwambie unataka kumuangusa lakini sambi sake mwenyeweNa Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake...mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
Usikonde mama mepata.....aaaahhh mm sweet wine!niletee NIIFUNDE JIONI