Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Shikamoo kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaposomaga maandishi ya miss natafuta hapo ndio huwa Najua kwanini lile vumbi la Congo linaitwa heshima ya ndoa, maana namuona miss ana dharau sana kwa sasa.

Huyu miss anatakiwa apewe heshima ya ndoa akituona awe anatusalimia. Masipooooota! Au transporter.
 
Uko vizuri.
 
Shikamoo kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marhaba binti mzuri. Nakuomba sana mnisaidie nimpate Miss Natafuta. Tena ningependa show iwe streamed live.
Mimi mambo ya ujinga sitaki. Aje achezee LIBOLO FC. Itakua ni dudu bandika bandua mpaka atapoweza kuelezea kisayansi kupatwa kwa K.
 
Mkuu mke wa mtu huyo..
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo kusemaaa
 
Na Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake.

Mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna bia na bia ujue. Kipindi nakunywa safari moyoni mwangu mwenyewe nilikua naona aibu ila sasa naachaje kuinywa. Nilivyoacha nilishukuru kweli Mungu kuniepusha na aibu ya kunywa safari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na sie wa soda je?
 
Ninaposomaga maandishi ya miss natafuta hapo ndio huwa Najua kwanini lile vumbi la Congo kinaitwa heshima ya ndoa.

Huyu miss anatakiwa apewe heshima ya ndoa akituona awe anatusalimia. Masipooooota! Au transporter.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…