Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Marhaba binti mzuri. Nakuomba sana mnisaidie nimpate Miss Natafuta. Tena ningependa show iwe streamed live.
Mimi mambo ya ujinga sitaki. Aje achezee LIBOLO FC. Itakua ni dudu bandika bandua mpaka atapoweza kuelezea kisayansi kupatwa kwa K.
Hahahahahahaaa
 
Waache wanaotumia hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatarii. Kuna pombe nililetewa na mchina kwanza ndogo kama kichupa cha valeur ila kina 60% alc.vol. nilikanusa tu nikamwambia asante siwezi kunywa
Angekukaanga maini huyo. Kisoda kimoja tu chali!
 
Wine mnataka iwe yenu bado na huku kwenye konyagi na grant mnakomaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi natoa gari special kwa ajili ya iyo siku
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.

Ukiona hivyo, basi jua huyo ni MARIO. Anawekwa mjini na maza mwenye hela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…