ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
hhahahahahahahahahahhahahahahaha fungua pm iyo manina wewe hahahahahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhahahahahahahahahahhahahahahaha fungua pm iyo manina wewe hahahahahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana
Wine mnataka iwe yenu bado na huku kwenye konyagi na grant mnakomaa!mzigua kwenye wine kuna ukweli aisee !wine waachien wanawake !lol
Hatarii. Kuna pombe nililetewa na mchina kwanza ndogo kama kichupa cha valeur ila kina 60% alc.vol. nilikanusa tu nikamwambia asante siwezi kunywaWanaume mkule vitu vya kina putin kule.
Mavitu kama Imperial Blue hivi kitu 42.5% alc.vol
HahahahahahaaaMarhaba binti mzuri. Nakuomba sana mnisaidie nimpate Miss Natafuta. Tena ningependa show iwe streamed live.
Mimi mambo ya ujinga sitaki. Aje achezee LIBOLO FC. Itakua ni dudu bandika bandua mpaka atapoweza kuelezea kisayansi kupatwa kwa K.
Waache wanaotumia hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo kusemaaa
Angekukaanga maini huyo. Kisoda kimoja tu chali!Hatarii. Kuna pombe nililetewa na mchina kwanza ndogo kama kichupa cha valeur ila kina 60% alc.vol. nilikanusa tu nikamwambia asante siwezi kunywa
Tena ukute jibapa limelazwa mezani, daah!Hahahahaaa. Lazima uwaze
mi natoa gari special kwa ajili ya iyo sikuHaya mimi nasema hivi najitolea kumtomba Miss Natafuta popote alipo.
Maana nimeona atukana humu. Tena gharama zote juu yangu na chochote nitafanya kwa ajili yake aridhike. Akitaka uthibitisho wa niliowahi kuwapitia atapata.
Nimeona katukana vidume humu ila wote kimyaa. Waliomjibu wawili tu. Kulikoni?
kwanini tusipate hizo protein ? Kibaya kipi.....Chips kuleni ila sio chips mayai
Chips kuleni ila sio chips mayai
Hahahaha kumbe inakera kwa kiwango hicho!sio vibaya kaangeni hata yai pembeni jamani
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Basi endeleeni kula tu ila ntaendelea kuwashangaa