Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Ngoja waje wanaume wa dar!!!
Haaaa haaaa
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Uko Dar?
 
Siyo umeona mkaka anakula chips yai,sema umemuona mwanaume wa Dar akila chips yai akakupa mawazo sana!
 
Marhaba binti mzuri. Nakuomba sana mnisaidie nimpate Miss Natafuta. Tena ningependa show iwe streamed live.
Mimi mambo ya ujinga sitaki. Aje achezee LIBOLO FC. Itakua ni dudu bandika bandua mpaka atapoweza kuelezea kisayansi kupatwa kwa K.
Kwenye issue ya mpambano kuwa streamed live mimi naunga mkono..pia tunaweza pata washirika(makampuni) yakadhamini
 
Hahahahaha! Inaelekea unapenda sana mkuyati eeh?!
 
hhahahahahahahahahahhahahahahaha fungua pm iyo manina wewe hahahahahahahahahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] noooooooooooo!![emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…