Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Mimi siipendi pia kutafuna bara baraniMimi huwa nashangaa kumuona mwanamke anakula au anatafuna huku anatembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siipendi pia kutafuna bara baraniMimi huwa nashangaa kumuona mwanamke anakula au anatafuna huku anatembea.
Ngoja waje wanaume wa dar!!!Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Uko Dar?Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Wewe na wale watoto wa kiume wanaotukana single mothers mna tofauti gani? Mimi ni mwanaume wa Dar tuko wengi sana humu JF tumekusikia.WANAUME WA DAR WANAGEGEDWA
Duuh! Haya sasa kumekuchaWANAUME WA DAR WANAGEGEDWA
Huyo atakua sio risk. Mwanaume kuwa na dressing table noma sanaMwanaume kuvaa skin jeans na kujipodoa na make up
Kwenye issue ya mpambano kuwa streamed live mimi naunga mkono..pia tunaweza pata washirika(makampuni) yakadhaminiMarhaba binti mzuri. Nakuomba sana mnisaidie nimpate Miss Natafuta. Tena ningependa show iwe streamed live.
Mimi mambo ya ujinga sitaki. Aje achezee LIBOLO FC. Itakua ni dudu bandika bandua mpaka atapoweza kuelezea kisayansi kupatwa kwa K.
Hahahahaha! Inaelekea unapenda sana mkuyati eeh?!mpo bar raha sana mwanaume kuagiza ugali dona, nyama choma,firigisi au dona kuku/mbuzi !na raha zaidi mwanaume amalize fast kile chakula(mm hua napenda men anayekula msosi wote tena kwa haraka) akimaliza hapo ndo aanze kunibembeleza mbiti mbn huli (nakulaga taratibu sana!)(hapo na mm nimeagza chips kuku/maini/mshkaki!awe anadokoa kidg dogo kunipa kampan!
au la!tukiagza wote ngama(ugali) bas yy amalize fastaa!
akimaliza anywe maji mengi!...
km mnywaji aanze kunywa!
binafsi ht akikunong'oneza msepe unajua HAPA KADHI TUU!lol
it against you sociableWe jamaa jina lako la kixenge sana, ati certified hater. Nimecheka apo tu
it against you sociableWe jamaa jina lako la kixenge sana, ati certified hater. Nimecheka apo tu
Ale akiwa Nyumbani Kama una umuhimu huo Sio barabarani jamani.......Ubuyu muhimu Beef hufahamu tu kazi yake, nenda kafanya kautafiti kadogo tu itarudi na kumpongeza mme alae ubuyu
Nimetania tu jamani lohD
Duuh! Haya sasa kumekucha
wewe HUPENDI? bas sio mzima wewe !Hahahahaha! Inaelekea unapenda sana mkuyati eeh?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] noooooooooooo!![emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359]hhahahahahahahahahahhahahahahaha fungua pm iyo manina wewe hahahahahahahahahahahaha
[emoji144] [emoji144] [emoji144]Waache wanaotumia hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaliza?!!Mimi pia huwa watu wananishangaa nikiagiza sahani 2 za chips kavu.
Kwa hiyo sikushangai ukiwashangaa wanaokula chips yai.