hhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ulafi basu huuWine mnataka iwe yenu bado na huku kwenye konyagi na grant mnakomaa!
ahaaaaaaaaaaaahhh ananikumbusha mbaaaliHalafu anamix na maji
Halafu anakuwa chakali na wakati mwingine awe anavuta na sigara, ni hatari!Mimi nakua nashangaa sana nikimuona mwanamke anakunywa Bia..
Off course napenda. Vp unataka kunitunuku?!wewe HUPENDI? bas sio mzima wewe !
hapanaOff course napenda. Vp unataka kunitunuku?!
Mbiti sio vizuri hivyohapana
wewe!kaoneMbiti sio vizuri hivyo
Tumeambiwa tusinyimane kwani tumepewa burewewe!kaone
Hivi na we Eli79: ...unakunywa wine? Khaaa!Kwani wine ni za wanawake tu? Unless ufanye specifications za wines gani sio masculine, lakini mvinyo unanywewa na jinsia zote.
Kweli ni aibu sana kwa mwanaume kuyafanya haya tena hili la kuimba taarabu daah! ila kwa wanaume wa Dar haya yote ni ya kawaida na naamini uliyemuona anafanya haya ni mwanaume wa Dar bila shaka!!Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
kwakweli!Tumeambiwa tusinyimane kwani tumepewa bure
mnapoelekea mpaka kitimoto mtataka mle peke yenu! sasa hapa ndo vita ya ukanda wa gaza itakapoanza.Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Uko dar kaka?Hata chips mayai, mimi mwenyewe ndio mlo wangu huo,nikipata Zege langu na soda ya cocacola basi ohooo siku inapita vizuri..
siku akinywa atawehuka ukute!Hivi na we Eli79: ...unakunywa wine? Khaaa!
hahhhhhhhhahhhhhhhhhhhhhh mbav zangu mmmnapoelekea mpaka kitimoto mtataka mle peke yenu! sasa hapa ndo vita ya ukanda wa gaza itakapoanza.
π π π π π π ameingia 18 zako huyoooWeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! ishia hapo hapo. Bia tamu sana siachi walaahi
kaka hiyo sigara ndio usiseme,mwanamke akivuta sigara ukijaribu kumkiss ni sawa ka kukiss "ashtray...Halafu anakuwa chakali na wakati mwingine awe anavuta na sigara, ni hatari!
ndio..kwaniniUko dar kaka?