Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

achana na hao wa chipsi mayai mimi avatar yako mpaka sasa hivi naiangalia kila baada ya dakika mbili
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Kweli ni aibu sana kwa mwanaume kuyafanya haya tena hili la kuimba taarabu daah! ila kwa wanaume wa Dar haya yote ni ya kawaida na naamini uliyemuona anafanya haya ni mwanaume wa Dar bila shaka!!
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
mnapoelekea mpaka kitimoto mtataka mle peke yenu! sasa hapa ndo vita ya ukanda wa gaza itakapoanza.
 
Back
Top Bottom