Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mara zote unalipia? Kwa mfano wale washkaji ambao kila weekend mnaonana kuanzia ijumaa. Unalipa siku zote? Mi najua mwanamke ndo analipiwa bill sio mwanaume.
Hapana ni mzunguko,leo nikilipa mimi kesho au siku nyingine analipa mwingine.
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Leo nikilipa mimi,siku nyingine analipa mwingine inazunguka.
Sasa imagine jana umelipa wewe leo zamu yangu nalipa halafu Mzigua90 yupo pembeni anakuona wale wale anaowazungumzia.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ok.
hivi karibuni lazima ntafute na mimi mzigua kama wewe
Nakuombea upate mwaya. Au unichukue mimi.
 
Mimi uwa nikiona mdada anapiga kitu safari basi najua huyu unagusa taratibu na haihitaji nguvu nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nan kasema?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa imagine jana umelipa wewe leo zamu yangu nalipa halafu Mzigua90 yupo pembeni anakuona wale wale anaowazungumzia.
Hapana hiyo kulipiwa ni kama kila siku naona hulipi. Sio mara moja tu jamani
 
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew

Kwahiyo kilichokukera wewe,ni kula chenza,au kula hadharani?
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Nina siku nyingi sijala kiepe yai. Umenikumbusha itabidi nile leo.
 
Back
Top Bottom