King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hapana ni mzunguko,leo nikilipa mimi kesho au siku nyingine analipa mwingine.Mara zote unalipia? Kwa mfano wale washkaji ambao kila weekend mnaonana kuanzia ijumaa. Unalipa siku zote? Mi najua mwanamke ndo analipiwa bill sio mwanaume.
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Sasa imagine jana umelipa wewe leo zamu yangu nalipa halafu Mzigua90 yupo pembeni anakuona wale wale anaowazungumzia.Leo nikilipa mimi,siku nyingine analipa mwingine inazunguka.
He hee. Embu kwendra zako huko. Nitakula hamu yake ikija, shangaa upendavyo.Ndo na mimi ntakushangaa kati ya vyakula vyote why zege
Yaani ni taabu kweli kweli!kaka hiyo sigara ndio usiseme,mwanamke akivuta sigara ukijaribu kumkiss ni sawa ka kukiss "ashtray...
Nitamwambia bibi, wewe jifanye kutegeka tu[emoji33] [emoji33]Siku hizi unanitenga sana
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
Utafiti wangu binafsi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nan kasema?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuibia simu ili ushindwe kumpigiaNitamwambia bibi, wewe jifanye kutegeka tu[emoji33] [emoji33]
Nina siku nyingi sijala kiepe yai. Umenikumbusha itabidi nile leo.Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Mohansmimi ni mwanaume nahitaji kujua majina ya wine isiyo kuwa na kilevi yani divai/mvinyo halisi usio tiwa chachu.
kama vipi rejea enzi za Yesu huko watu walipiga divai kama kawa